Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndo najipanga hapa kupiga vizinga, kuanzia makaka,mashemeji,maex,wajomba,nk nikimaliza nipo vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo najipanga hapa kupiga vizinga, kuanzia makaka,mashemeji,maex,wajomba,nk nikimaliza nipo vizuri.
Afadhali sipo kwenye orodha na muda huo unapiga mizinga mimi nipo kwenye handakiNdo najipanga hapa kupiga vizinga, kuanzia makaka,mashemeji,maex,wajomba,nk nikimaliza nipo vizuri.
Eh! Mwanamke wewe,..Mungu anakuona,.. Acha kuwa na roho mbaya...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kushuka bwana, we kama unaona mizinga yake mizito kabebe size yako.
Haujaona hapo makaka!!! Tena wewe ndio wa kwanza.Afadhali sipo kwenye orodha na muda huo unapiga mizinga mimi nipo kwenye handaki
Hahahaaaaaaaaa!!!Eh! Mwanamke wewe,..Mungu anakuona,.. Acha kuwa na roho mbaya...
Hawa wengine tunokutana nao barabarani wanaongea wenyewe sio kwamba ni mateja au wamerogwa.... Ni nyie mademu mnawabebesha mizigo mizito, nao kwa tamaa ya msambwanda, wanatembea bila kujua wanakoenda kutafuta pesa.. Muwe na huruma jamani.. Mnaua wengi!
Sasa mimi makaka siunaniitaga dogo wewe. Au kwenye mizinga leo umenikuzaHaujaona hapo makaka!!! Tena wewe ndio wa kwanza.
Ni mdogo wangu kiumri, ila ni kaka yangu kiwadhifa.Sasa mimi makaka siunaniitaga dogo wewe. Au kwenye mizinga leo umenikuza
Jidudu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
[emoji23][emoji23] hahahaNi mdogo wangu kiumri, ila ni kaka yangu kiwadhifa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Eh! Mwanamke wewe,..Mungu anakuona,.. Acha kuwa na roho mbaya...
Hawa wengine tunokutana nao barabarani wanaongea wenyewe sio kwamba ni mateja au wamerogwa.... Ni nyie mademu mnawabebesha mizigo mizito, nao kwa tamaa ya msambwanda, wanatembea bila kujua wanakoenda kutafuta pesa.. Muwe na huruma jamani.. Mnaua wengi!
sio kwa ratio io aiseeePapu zetu mnaziachaga salama?
tehe tehe tehe nachapa kazi sana ndio maana natamani kawikiendi karefu kidogoUnawaza weekend ndefu tu... Tanzania ya v wonder hii.. Chapa kazi
Af kweli mzeeMapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
Sio tusi mchepuko ni Jambazi na anayetetea mchepuko naye anahusikaAcha mkuu matusi
mmhsio kwa ratio io aiseee