Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Ndo najipanga hapa kupiga vizinga, kuanzia makaka,mashemeji,maex,wajomba,nk nikimaliza nipo vizuri.
Afadhali sipo kwenye orodha na muda huo unapiga mizinga mimi nipo kwenye handaki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kushuka bwana, we kama unaona mizinga yake mizito kabebe size yako.
Eh! Mwanamke wewe,..Mungu anakuona,.. Acha kuwa na roho mbaya...
Hawa wengine tunokutana nao barabarani wanaongea wenyewe sio kwamba ni mateja au wamerogwa.... Ni nyie mademu mnawabebesha mizigo mizito, nao kwa tamaa ya msambwanda, wanatembea bila kujua wanakoenda kutafuta pesa.. Muwe na huruma jamani.. Mnaua wengi!
 
Hahahaaaaaaaaa!!!
Umeongea vizuri, ni tamaa zao ndio zinawaua, sasa kwakuwa hawataki kutumia akili walizopewa sie tufanyeje. Hata sisi shida hazituhurumii jamani, si kwamba tunapenda bali ni shida tu. Kwahiyo vumilieni tu.
 
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Jidudu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eh! Mwanamke wewe,..Mungu anakuona,.. Acha kuwa na roho mbaya...
Hawa wengine tunokutana nao barabarani wanaongea wenyewe sio kwamba ni mateja au wamerogwa.... Ni nyie mademu mnawabebesha mizigo mizito, nao kwa tamaa ya msambwanda, wanatembea bila kujua wanakoenda kutafuta pesa.. Muwe na huruma jamani.. Mnaua wengi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
ucmpo wao unaokula nao watampa.... hawa viumbe wana plan B zao complex tucje kuleta uzi hapa umenyimwa mbunye
 
Back
Top Bottom