miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
nimekuelewaSio tusi mchepuko ni Jambazi na anayetetea mchepuko naye anahusika
Mizinga ni kachumbari kwenye mapenzi.acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Thank you,,,,,,nimekuelewa
Mkuu mi jana nilikuwa TAIFA pale nimechukua namba ya USTAADHATI mmoja hivi mkali,ila nasubiri hadi Idd ipite mkuu ndo nianze makeke.Naepuka mengi yanaoyambatana na sikukuu.
Miss you cwteeeeUjue bado ni asubuhi hii.. ndio maneno gani hayo wewe mtoto wa kirombo????
KabisaMizinga ni kachumbari kwenye mapenzi.
Karibu tenaThank you,,,,,,
Huwezi ona kwa sababu unakurupukaWe upo dunia gani mkuu,maana hapo naona ni October 25.
ww 80000 tuu? mm 17000.Mpaka mda huu nadaiwa 80,000[emoji23] [emoji23] [emoji23]