Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Mizinga ni kachumbari kwenye mapenzi.
 
Mkuu mi jana nilikuwa TAIFA pale nimechukua namba ya USTAADHATI mmoja hivi mkali,ila nasubiri hadi Idd ipite mkuu ndo nianze makeke.Naepuka mengi yanaoyambatana na sikukuu.


Unamuogopa ustaadh mwenye wake lukuki kukuomba hela ili awanunulie zawadi wake na watoto wake?
 
We upo dunia gani mkuu,maana hapo naona ni October 25.
Huwezi ona kwa sababu unakurupuka
2017-06-22+12.35.43.png
 
Back
Top Bottom