Salute. Miaka 133
Lakini sio kwa kiwango cha kusababisha mtoto wa mwanamke mwenzio akagongwe gari, akiwazia kuipata mbunye kwa gharama unazojua unamkwamisha.....Hebu niambie wapi nimeongelea level zangu kwenye mada alafu tuanzie hapo, then utaiambia nani yuko kwenye mada or not!!!
The thing is, unapolalamika kupigwa mizinga iliyo nje ya uwezo wako ni kwamba umemchukua alie nje ya uwezo wako, chukua alie ndani ya uwezo wako,ambae atakupiga mizinga unayoafford itakayokufanya usilalamike. Unamfuata binti ambae unajua kabisa hapa nikipigwa kizinga kamwe hakiwezi kuwa elfu10, alafu akikupiga cha milioni unaanza kulalamika kweli!!!!
HahahaMbwa Kala Mbwa [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Cm inakua busy utafikiri ni ya Operator wa Simu....Dah! kweli bro mi nashangaa mbona namba mpya nyingi zinaingia kwenye simu yangu,afadhali umenishtua kabla mshahara.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] daah! We mtu mbaya saaana... Yaani nimecheka... HahahaKwa wanaume woteeee.
Ukipokea simu ya mwanamke jifanye husikii kisha kata simu na ikibidi zima na utie beteri ili kuepusha hatari ya mifuko hiyo.
Mapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
Hahaaaaaa! wataisoma mwaka huu Hizi operation zilizopo hapa J.F zimenipa somo aisee.Cm inakua busy utafikiri ni ya Operator wa Simu....
Au utaona sms,... "Mambo?.. Pw.
" Mmh baby umenisusa"... Sijakususa, mbona me nipo tu...
"OK, baby nikuambie kitu...".... Ikifikia hapo, kaa mkao wa kupigwa...
Chukua tahadhali. [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Acheni kelele ni wajibu wa mwanaume kuonyesha kuwa inapofika sikukuu lazima awe responsible mnakimbia nini, ndo maana huwa mnadharauliwa halafu mnahisi hampendwi, show offMapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini sio kwa kiwango cha kusababisha mtoto wa mwanamke mwenzio akagongwe gari, akiwazia kuipata mbunye kwa gharama unazojua unamkwamisha.....
Nawe usitake gharama zinazofanana kwa kila Mwanaume, jaribu kushuka chini kutokana na man uliyempata, wakija wanene uwape za chembe....