Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

19247945_478231325858222_2097588032469676279_n.jpg
Salute. Miaka 133
 
Miss chagga umechafukwa ila punguza kidogo basi kupenda ela mama manake unaua bendii
Mwanamke kwa hela huyo.... Ni shidah [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hebu niambie wapi nimeongelea level zangu kwenye mada alafu tuanzie hapo, then utaiambia nani yuko kwenye mada or not!!!

The thing is, unapolalamika kupigwa mizinga iliyo nje ya uwezo wako ni kwamba umemchukua alie nje ya uwezo wako, chukua alie ndani ya uwezo wako,ambae atakupiga mizinga unayoafford itakayokufanya usilalamike. Unamfuata binti ambae unajua kabisa hapa nikipigwa kizinga kamwe hakiwezi kuwa elfu10, alafu akikupiga cha milioni unaanza kulalamika kweli!!!!
Lakini sio kwa kiwango cha kusababisha mtoto wa mwanamke mwenzio akagongwe gari, akiwazia kuipata mbunye kwa gharama unazojua unamkwamisha.....
Nawe usitake gharama zinazofanana kwa kila Mwanaume, jaribu kushuka chini kutokana na man uliyempata, wakija wanene uwape za chembe....
 
Dah! kweli bro mi nashangaa mbona namba mpya nyingi zinaingia kwenye simu yangu,afadhali umenishtua kabla mshahara.
Cm inakua busy utafikiri ni ya Operator wa Simu....
Au utaona sms,... "Mambo?.. Pw.
" Mmh baby umenisusa"... Sijakususa, mbona me nipo tu...
"OK, baby nikuambie kitu...".... Ikifikia hapo, kaa mkao wa kupigwa...
Chukua tahadhali. [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Kwa wanaume woteeee.
Ukipokea simu ya mwanamke jifanye husikii kisha kata simu na ikibidi zima na utie beteri ili kuepusha hatari ya mifuko hiyo.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] daah! We mtu mbaya saaana... Yaani nimecheka... Hahaha
 
Hizi ndo wiki ukitaka kumtoa mtu out anakuuliza bajeti yako.Ukiitaja tu anakwambia bora umpe yeye kuliko kuharibu hela.
 
Hizi ndo wiki ukitaka kumtoa mtu out anakuuliza bajeti yako.Ukiitaja tu anakwambia bora umpe yeye kuliko kuharibu hela.
Kweliiiii [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Cm inakua busy utafikiri ni ya Operator wa Simu....
Au utaona sms,... "Mambo?.. Pw.
" Mmh baby umenisusa"... Sijakususa, mbona me nipo tu...
"OK, baby nikuambie kitu...".... Ikifikia hapo, kaa mkao wa kupigwa...
Chukua tahadhali. [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Hahaaaaaa! wataisoma mwaka huu Hizi operation zilizopo hapa J.F zimenipa somo aisee.
 
Kipindi hichi karibu na siku kuu, usijaribu kuwa na shobo la kuwapigia pigia wapendwa eti kuwatakia siku kuu njema, weeeeh utashangaa unaalikwa alafu wewe ndio mtoa huduma na mahitaji ya sikukuu
 
Mapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
Acheni kelele ni wajibu wa mwanaume kuonyesha kuwa inapofika sikukuu lazima awe responsible mnakimbia nini, ndo maana huwa mnadharauliwa halafu mnahisi hampendwi, show off
 
Lakini sio kwa kiwango cha kusababisha mtoto wa mwanamke mwenzio akagongwe gari, akiwazia kuipata mbunye kwa gharama unazojua unamkwamisha.....
Nawe usitake gharama zinazofanana kwa kila Mwanaume, jaribu kushuka chini kutokana na man uliyempata, wakija wanene uwape za chembe....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna kushuka bwana, we kama unaona mizinga yake mizito kabebe size yako.
 
Back
Top Bottom