Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

Mnawezaje kupata mademu humu? Tena kwa anonymous IDs? Simaanishi kwamba ninatafta demu ila hili jambo hua linanifikirisha sana [emoji848]

Btw kuna mdada humu nammezeaga mate na hajui [emoji39]

Mzamie piemu
Maisha yenywe haya unaogopa nini
Utakachokutana nacho huko unapambana nacho kimya kimya.
 
Back
Top Bottom