Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

Kuna mmh ja tulionana Dar, siku hiyo nimemuona nikajitambulisha akanifahamu tukakaa tukaanza kupiga story!
Yaani pale tumekaa wahudumu wamefika si akaagiza Robertson na Nyama Choma daah nikaanza kuwaza hii bill ni yangu au tunashare ila kama akajishitukia maana kuagiza vitu hivyo vyote alfu ndio kwanza tumeonana ilishitua. Akasema usijali Redpanther nitalipia mwenyewe hii Robertson wee lipia nyama choma.!
Ila kuwa makini tu mzee, kukutana na mtu kwa mara ya kwanza ambaye hujawahi onana before na humjui ni ujasiri.!
 
Aaahh njia nzuri ukiona hivyo sikiliza wimbo wa mbio ya Ally Kiba au Am walking away by Craig David hiyo itakusaidia ni hayo tu.
 
Naishi goba ndani ndani kabisa mtaniletea huku au miyeyusho tu?
Muulize INSIDER MAN kama kuna sehemu bolt hafiki.
Nachofanya wateja wangu huwa natazama wale wa njia moja kisha wanachangia nauli elfu 2 kila mmoja bolt nampanga watakupa kila mmoja kiasi flani kisha wale wateja wakifikishiwq msosi wao wanatuma pesa yangu Kwa lipa namba.
 
Ok sawa tutawasilianaje sasa?
Mgahawa wenyewe upo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…