Mizizioloji? Pamoja na mvua kubwa kila kona ya Nchi watu wanajitokeza kwa wingi kwenye maandamono ya Chadema

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
24,977
Reaction score
23,799
Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji?

Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu

Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo

Muungano hoyee
 
Huku uhuru empty, watu wanapiga soga tu mitaa ya Temeke, Kinyerezi, Tandale, magomen, Mbagala kote huko
 
Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji?

Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu

Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo

Muungano hoyee
Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Umenikumbusha maandamano ya Arusha,

Makamanda waliloa chepechepe lakini walisonga Hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom