Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Hangaika na maisha yako dogoNimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Unajua unaweza ukaeleweka tu bila kuchangia hoja hii kwa kutukana.Hii nchi watu wenye akili ndogo mnajitahidi sana kutaka kuwafanya watu wote waonekane ni mapunguani kama mlivyo nyinyi!
Mimi nadhani ni vizuri wakati mwingine mkubali tu kuambiwa ukweli. Hakuna tusi hapo ulilotukanwa.Unajua unaweza ukaeleweka tu bila kuchangia hoja hii kwa kutukana.
Waweza toa sababu za kwanini wewe usiwe mama wa TaifaNimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Punguani wahed.Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Amefanya kazi gani mmam wetu huyuNimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Mama yako mzazi unamtambuaje? punguza ujinga, Mnaishi dhama za slaveNimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Amefanya kazi gani mmam wetu huyu
Kuna mtu leo kanipa elimu kidg sana ya katiba nakagundua kuwa Samia hakustahiki kuwa rais alipazwa kubaki na unakamu wake tu Hadi amalize ,hiz lawana. Anatupiwa CD F mabeyo kwa kushindwa kuelewa katiba inasemaje ,kumbe cdf Hana elimu Bora ya Katiba ndio maana Samia Ni rais kwa sababu zake Wala siyo katba imemuweka amewekwa kwa matakwa ya cdf asiye na ufahamu sahih na Mambo ya kikatiba na sheria
SSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.