Mjadala: Haki ya kutoa maelezo Polisi

Mjadala: Haki ya kutoa maelezo Polisi

Jogoo na jogoo wanabishana namna ya kumpanda mtetea huku kil mmoja akitoa reference zake....hahahha very interesting.

Hapa naona ubavu na hoja, mmoja ameaksi kabisa serikali ya sasa. Najua jambo moja tu kwamba, unaweza kumtenda mwanadamu jambo lolote baya, ukamnyima na.haki yake. Lakini haki yote ya kweli imekaa kwa Mungu na kila.mtu ataiface.
 
Namkumbuka mama Makinda linapokuja suala la sheria.

Huwa hawataki CCM karibu mf.Lusinde. Maana yangu ni kuwa hapa tunaka POLISI, MAHAKIMU, MAWAKILI na WANASHERIA tu kutupatia mwongozo. Wanasiasa tukae pembeni!!
 
Nilieleza vizuri pengine ni kukimbilia kucomment kabla hujasoma. Nilisema kuwa huwa nadeal na hizi issue daily kusema vile haiimanishi kuwa mimi ni polisi I a pure lawyer. Hizo statements mawakili huwa wanadeal nazo na pia mahakimu huwa wanadeal nazo.Kwa nini hukuweza kufikiri naweza kuwa wakili au hakimu! Hapo ni shida ya kufikiria vizuri. Na pia kwenye baadhi ya kesi hata uwepo wa wakili unaweza usaidie kidogo tu, hivi hujiulizi wakili maaarufu kama yule Mwale wa Arusha akijua vifungu hivyo bado alilazimika kutoa statement! Acha kuongelea sheria za kwenye tamthilia.
ndugu, una dili kila siku na hizo statement, mara sijui wakili mwale wa arusha, mara sijui mawakili senior sana...what? usenior wako unaonekana kwenye kushinda kesi, kujua mambo au miaka mingi uliyokaa kama wakili? huyo boni unamtaja nilikuwa naye tangu hata kabla hajaja dsm na alipohamia dsm nilihamia pia. nimeendesha naye sana. inawezekana wewe ukawa wakili wa kujitegemea lakini kitu ambacho haujawahi kufanya au huelewi ni namna statement zinavyochukuliwa na haki za wateja wetu. hivi ulishawahi hata siku moja kushiriki kwenye mchakato wa kuchukua maelezo ya wateja wako? ulishahudhuria interrogation hata moja? kama wewe unakubali kuwa kuna makosa kadhaa kama lile la mwale lazima wangechukua maelezo, kwani hapa tunajaili mwale? ugomvi wangu na wewe hapa mimi nilisema kuwa kisheria polisi hawawezi kukulazimisha utoe maelezo, ni kitu cha hiari kabisa. lakini kuna makosa kadhaa ambayo hata wewe ungekuwa polisi ungemlazimisha mtu kutoa maelezo ila ukifika mahakamanai utamruka kuwa haukumlazimisha. kutukanana na mtu kama alivyofanya gwajima na hapajakuwepo na machafuko ya nchi hakukuwa na hatari yeyote ile iliyotokana na maneno yake ni tofauti na vile wangemhoji muuaji au mwale. mwale alihatarisha usalama wa taifa kwasababu taarifa zilitoka CIA kabisa kuwa anapokea hela za magaidi wa al quaeda na tuhuma nyingine zinazofanana na hizo. mtu anayehatarisha usalama wa nchi kama huyo ukiwa pale polisi kwanza hata treatment ni tofauti, majambazi, watu kama hawa kina mwale, magaidi etc ni kweli polisi huwa wanapiga sana, wanakuingiza chupa kwenye tigo ambako huwezi kuwa na ushahidi wa vidonda, wanazo namna za kukutesa hadi ukubali. lakini ukikubali tu wakija mahakamani watakwambia ulikubali kwa hiari. ndio maana nimeuliza kuna kifungu gani cha sheria?

sasa kwa akili yako gwajima ameitwa pale kwaajili ya kutoa maelezo ya kutukana pengo, do you think kesi yake ilikuwa na uzito wa polisi kufanya umafia? unachobisha wewe hadi sasaivi umeng'ang'ania ati huwezi kupelekwa mahakamani bila maelezo. hujui kitu kichwani huko nashangaa hata hizo kesi unaowawakilisha wana hasara tu kama mtu mwenyewe ndio uko hivyo.
 
Aliyekuambia mimi siyo mwanasheria ni nani? Hii hoja umeitoa wapi? Ni vizuri uliacha kazi kwa sababu mawakili hawa wasieweza kuelewa hata vitu vidogo ndio mnaosababisha serikali kupoteza kesi kila siku. So far chambers ilikuwa na wakili mmoja ndio aliyekuwa anafahamika ambaye ni Bonifasi Stanislaus Makulilo .Wewe ulikotokea hukuwa lolote au chochote na wala usifikiri kujitangaza wakili ni sababu ya kuzipa nguvu hoja zisizokuwa na mashiko. Wengine ni very senior members wa TLS.
kwa point za kitoto unazozitoa humu, unaaibisha hata TLS kwa kujiita wewe ni senior member wa TLS. acha ushamba kasome vitabu huko unaleta ubishi ili watu wakuamini ati kwasababu wewe ni senior member tls?hahahah, ni kweli nilikuwa wakili wa serikali na sikuwa nashindwa kesi kama ambavyo utakuwa unashindwa wewe kesi za wateja wako kwa kuvimba mgongo ati wewe ni senior hopeless. hivyo hivyo viwakili uanvyovidharau ndivyo vinavyoshiriki kwenye upelelezi na polisi na hata interrrogation na polisi kwa suspects wanayo practical experience kuliko wewe ambaye tangu usome sheria unaiona cautioned stn na extrajudicial ikiwa imeletwa mahakamani, wenzio wanaziona kabla hawajakuletea pale kutender. yaani mawakili wengine hasara tupu.
 
Kwa bahati nzuri mimi siyo polisi lakini hoja zako ziko too theoretical na kama hauna experience yoyote ya namna mashahidi wanavyohojiwa. Najua ungekuwa wakili ungekuwa una picha kidogo ya zoezi zilivyo. Kwa hiyo style unayofikiria wewe hata mwizi wa kuku humpati.
kwasababu wewe ni senior counsel wa TLS...hahahaaha, natamani nikuone ukiwa court unavyopepesa mdomo kwa kiburi kumbe upstairs empty. halafu nahisi kukufahamu kwa jinsi unavyozidi kujipambanua nahisi wewe ni wakili mmoja hivi yaani dah, kumbe ndio kichwani uko hivyo? senior lawyer wa TLS, kwenye account una sh.ngapi au ndo walee magabage wanaoridhika na kuvaa makoti meusi na tai kutembeza tumbo barabarani alimradi mtu amwone mwanasheria lakini akifika court anawaangusha wateja hadi mteja anatamani angejiwakilisha mwenyewe. dah....
 
Na zaidi hakuna operation ya polisi iliyoleta mafanikio mazuri ndio badala ya operations za polisi sasa wameamua kutumia task force.
kwa taarifa yako task force ndio wanaharibu kuliko hata polisi wasio kwenye kikundi. kumbe haujui kitu aisee.
 
kwasababu wewe ni senior counsel wa TLS...hahahaaha, natamani nikuone ukiwa court unavyopepesa mdomo kwa kiburi kumbe upstairs empty. halafu nahisi kukufahamu kwa jinsi unavyozidi kujipambanua nahisi wewe ni wakili mmoja hivi yaani dah, kumbe ndio kichwani uko hivyo? senior lawyer wa TLS, kwenye account una sh.ngapi au ndo walee wenzangu na mimi wanaoridhika na kuvaa makoti meusi na tai kutembeza tumbo barabarani alimradi mtu amwone mwanasheria lakini akifika court anawaangusha wateja hadi mteja anatamani angejiwakilisha mwenyewe. dah....

Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya taarab! Nilivyoeleza namna ya kuhoji na namna gani hali inaweza kuwa tofauti kuendana na kesi ndicho kinachofanyika. Wewe unakuja na mbwembwe za kujiita wakili vifungu vyenyewe huvijui vizuri na kilichonipa wasiwasi na uelewa wako wa sheria ni pale uliposema " Chief Justice Manual" hakuna mwanasheria hasa wa criminal law anayeweza kuongoe kitu cha ajabu hivyo, hivi ulisoma wapi mpaka ukafika hapo? Au pengine isijekuwa nabishana na paralegal au first year. Kuhusu pesa zipo nyingi sana, huwa nadeal na complex cases tu. Ila hujachelewa najitolewa kukupa nafasi ya ulegal officer kwangu ili ujifunze
 
kwa taarifa yako task force ndio wanaharibu kuliko hata polisi wasio kwenye kikundi. kumbe haujui kitu aisee.

Sizungumzii tokomeza hiyo wala haikuwa taskforce, taskforce ndio ipo kazini sasa hivi kwa taarifa yako. Na ndio maana hata ujangili umepungua.
 
Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya taarab! Nilivyoeleza namna ya kuhoji na namna gani hali inaweza kuwa tofauti kuendana na kesi ndicho kinachofanyika. Wewe unakuja na mbwembwe za kujiita wakili vifungu vyenyewe huvijui vizuri na kilichonipa wasiwasi na uelewa wako wa sheria ni pale uliposema " Chief Justice Manual" hakuna mwanasheria hasa wa criminal law anayeweza kuongoe kitu cha ajabu hivyo, hivi ulisoma wapi mpaka ukafika hapo? Au pengine isijekuwa nabishana na paralegal au first year. Kuhusu pesa zipo nyingi sana, huwa nadeal na complex cases tu. Ila hujachelewa najitolewa kukupa nafasi ya ulegal officer kwangu ili ujifunze
hahaha, senior counsel wa TLS, acha ubishi nenda kasome vitabu bado huna akili. mwanzoni mwa mabishano ulishikilia msimamo ati "mtu hawezi kupelekwa mahakamani bila kutoa maelezo, tukakuambia lete vifungu, sasaivi naona umeshalegea unasema, yes, mtu anaweza kupelekwa mahakamani bila maelezo. na unakubali hakuna vifungu vya sheria kumlazimisha suspect kutoa maelezo polisi. hicho ndicho tulichokuwa tunakisema sisi wenzio tangu mwanzo. sema baada ya kukuelimisha wee vya kutosha ndio sasaivi unakuja kukubali na kujifanya as if ulikuwa na msimamo kama hu tangu awali. kama ungekubali hata ubishi tusingeendelea. nashukuru umekuwa mpole umekubali kwama Yes, Gwajima alikuwa katika nafasi ya kukataa kutoa maelezo na kusema kuwa nitatoa maelezo polisi. na mwanasheria wake alitakiwa amshauri aseme hivyo. kama una hoja nyingine sema, ila kama hoja bado ni hii nimeshakushinda, ingekuwa tuko court yaani nimeshakugaragaza huna hata hali aibu tu.

kuhusu mipesa yako,..hahaha, we huna lolote, wenye hela huwa hawajitangazi.watu kama wewe raha sana, kukuuliza kwenye a/c kuna nini tayari umeruka juu kama mtu amekugusa vibaya, tunakujambisha halafu tunakaa pembeni kuangalia unavyojichanganya mwenyewe...ati ohoo mimi ni senior lawyer TLS, mara ohoo nina hela nyingi?...acha ushamba wewe. lini umekuja mjini?
 
Sizungumzii tokomeza hiyo wala haikuwa taskforce, taskforce ndio ipo kazini sasa hivi kwa taarifa yako. Na ndio maana hata ujangili umepungua.
ulishawahi kushiriki task force yeyote kama mmoja wa wanaoenda operation? hebu niambie ina comprise watu wa aina ngapi? najua hujui hata unachoongea zaidi ya vile ambavyo umevisikia tu ambavyo haujawahi hata kushiriki. we kabila gani? kwahiyo wewe unajua kuwa task force imeanzia kwenye tokomeza tu, hazikuwepo kabla? niambie katibu wake ni nani na mwenye kiti wake nani na wanatoka wapi?kama ukiona utatadisclose sana siri za serikali nipm.
 
Sizungumzii tokomeza hiyo wala haikuwa taskforce, taskforce ndio ipo kazini sasa hivi kwa taarifa yako. Na ndio maana hata ujangili umepungua.
mimi nakuambia sasa kabla ya operation tokomeza ilikuwepo task force. unajua hilo?
 
Hute;

Mkuu acha mipasho ongea ki taalamu zaidi.
Wengi humu tunajifunza pia sheria kupitia mijadala.
Sasa kama Askofu na mwanasheria wake walijua wana haki ya kukaa kimya mpaka mahakamani,mbona waliendelea kuongea ile siku ya kwanza mpaka mjadala ulichukua masaa matano?
Kwa nini hawakutumia hii shortcut yako Mkuu Hute?
 
Last edited by a moderator:
Hute;

Kumbe nimegundua ni kwa nini unasema ulifanya kesi nyingi na Boni halafu wala hukuwahi kutajwa popote pale basi hata jaji kukiri kuna kazi nzuri uliyowahi kuifanya. Wewe ni mvivu wa kusoma na kufikiria.

Pitia post zangu kuanzia mwanzo wa thread hii kuna mchangiaji mmoja alisema kuwa mtuhumiwa katakata hawezi kuletwa mahakamani bila statement yake kuchukuliwa polisi. Mimi nikamquote kuwa kimsingi inawezekana aje hata bila statement lakini nikaongeza kama ni hizi kesi kubwa lazima mtuhumiwa anabananishwa atoe baadhi ya details kama basi statement.

Hicho ndicho nilichosema kuanzia mwanzo kumbe umeachana na aliyesema vile na kupambana na asiyehusika. At first nilipata shida sana na uelewa wako ila sasa ndio nagundua imesababishwa na uvivu wako wa kusoma vizuri.Au una stress umri na huna pesa?

Njoo nikufanyie crush program ili upanuke kimawazo na kimtizamo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha mipasho ongea ki taalamu zaidi.
Wengi humu tunajifunza pia sheria kupitia mijadala.
Sasa kama Askofu na mwanasheria wake walijua wana haki ya kukaa kimya mpaka mahakamani,mbona waliendelea kuongea ile siku ya kwanza mpaka mjadala ulichukua masaa matano?
Kwa nini hawakutumia hii shortcut yako Mkuu Hute?

Huyu anawapotezea muda tuu hana la ziada
 
Last edited by a moderator:
ulishawahi kushiriki task force yeyote kama mmoja wa wanaoenda operation? hebu niambie ina comprise watu wa aina ngapi? najua hujui hata unachoongea zaidi ya vile ambavyo umevisikia tu ambavyo haujawahi hata kushiriki. we kabila gani? kwahiyo wewe unajua kuwa task force imeanzia kwenye tokomeza tu, hazikuwepo kabla? niambie katibu wake ni nani na mwenye kiti wake nani na wanatoka wapi?kama ukiona utatadisclose sana siri za serikali nipm.

Kwanza kuna wahusika ambao ni watu wa usalama wa taifa ambao kama kweli uliwahi fanya nao kazi usingali jaribu kusema watajwe hapa. Lakini kuuliza kuuliza tu vyeo haitoshi labda ungeniambia namna ilivyounda baada ya mashambulizi katika ubalozi wa marekani hapa Tz. Pia tunaweza eleza sehemu ambayo Tz ilichukua huo mfumo wa taskforce. Katika zama hizi ukisikia mtu tena anasema kaenda shule alafu anakuuliza wewe ni kabila gani basi huyo ana matatizo maalum. Nyerere aliimba siku zote kuwa watanzania tunajitambulisha kwa utanzania wetu siyo makabila. Kwa hayo somo litakuwa limekuingia vizuri .
 
Mkuu acha mipasho ongea ki taalamu zaidi.
Wengi humu tunajifunza pia sheria kupitia mijadala.
Sasa kama Askofu na mwanasheria wake walijua wana haki ya kukaa kimya mpaka mahakamani,mbona waliendelea kuongea ile siku ya kwanza mpaka mjadala ulichukua masaa matano?
Kwa nini hawakutumia hii shortcut yako Mkuu Hute?
jibu ni rahisi tu, walikuwa hawajui kuwa wanayo haki ya kutoa maelezo kwa hiari, its hiari kutoa maelezo sio lazima. lack of knowledge ndio ilisababisha waendelee kujianika wee maisha ya gwajima hadi sasa wamefikia kutaka kufunguliwa makosa mengine kwasababu ya kosa walilolifanya mwanzo ambalo mwanasheria wake alikuwa mchanga kujua. hata wewe ungekuwa pale ungefanya kama alivyofanya mallya. hivyo nakuweka naye kwenye group moja.
 
Huyu anawapotezea muda tuu hana la ziada
kwahiyo msimamo wako uko wapi kulingana na topic, kwamba suspect anaweza kukataa kutoa maelezo polisi, suspect hawezi kupelekwa mahakamani bila kuchukuliwa maelezo (akiwa amekataa) au ni ule ambao mimi na wenzangu tunao kuwa suspect anaweza kukataa kuchukuliwa maelezo na atapelekwa mahakamani hivyo hivyo bila kutoa maelezo kwa polisi? tell us your stand now ili nijue kama nahitaji kuendelea na wewe au nikupotezee.
 
permanides

hahaha.

basi tuko pamoja, na huo ndio ulikuwa msimamo wangu tangu awali na nilikuwa namlaumu mallya kwanini hakumshauri gwajima akatae kutoa maelezo ili awambie mimi nitatoa mahakamani wakati wa defence yangu. that way nafikiri tuko pamoja, lakini na wewe uache majigambo kwamba una hala sijui senior tls...unakuwa unaonekana mshamba.

unaposema mimi nimezeeka na sina hela, mimi siwezi kujidisclose kama unavyofanya wewe nisije kufanana akili na wewe. tufunge mjadala na wewe.

bye.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kuna wahusika ambao ni watu wa usalama wa taifa ambao kama kweli uliwahi fanya nao kazi usingali jaribu kusema watajwe hapa. Lakini kuuliza kuuliza tu vyeo haitoshi labda ungeniambia namna ilivyounda baada ya mashambulizi katika ubalozi wa marekani hapa Tz. Pia tunaweza eleza sehemu ambayo Tz ilichukua huo mfumo wa taskforce. Katika zama hizi ukisikia mtu tena anasema kaenda shule alafu anakuuliza wewe ni kabila gani basi huyo ana matatizo maalum. Nyerere aliimba siku zote kuwa watanzania tunajitambulisha kwa utanzania wetu siyo makabila. Kwa hayo somo litakuwa limekuingia vizuri .
pole. haujui kitu. na sitajadili hii topic kwasababu haina faida (topic ya taskforce) na haikuwa moja ya hoja za thread. bye.
 
Back
Top Bottom