Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

Toboa muda wowote kikubwa pale unaelekea phase ya kuondoka hapa duniani hakikisha unacho.
Hicho ndio kipindi kigumu ndio maana unaona wazee wanang'ang'ania madaraka
 
Fanya ufanyalo ukifika 40 uwe umetoboa.
Huo ndio muda nguvu zako zinaanza kupungua, huwezi kukimbizana kama kijana wa 20's. Muda ambao wazazi wako na wa mwenza wako wameshazeeka wanakutegemea wewe 100%, Muda ambao watoto wanaanza kwenda vyuoni, demand ya pesa ni kubwa. Muda ambao muajiri anakuona umeanza kuchoka anahitaji young blood, Muda ambao kama uliishi kwa kudanga vimekuja vitoto vya 2000 na wewe huna market tena 😆😆😆, Muda ambao society inakuhukumu kwamba umefika umri huo huna cha kuonyesha😭😭😭. Hapo ndio maradhi ya akili yanaanziaga.
 
Kwa ujumla kama mambo ya maisha yangeenda kama binadamu tunavyotaka, ni vizuri pesa ukaipata ukiwa bado una nguvu( kijana), ili ikusaidie kuishi maisha bila shida. Muda wa mwanadamu wa kuishi ni mfupi hivyo kuipata uzeeni huenda usiifaidi, maana ndiyo miaka ya kusongwa na magonjwa ya uzeeni.
 
Kuna mambo manne ya kuangalia
1.Afya au nguvu/energetic
2. Hekima/kufanya maamuzi sahihi
3. Muda/ kutafuta na kuinjoi
4. Maarifa/ Akili inafanya kazi vizuri

Ukitoba ukiwa kijana unakuwa na uwezo wa kuwa na namba 1 , 3 na 4 Namba 2 usipokuwa nayo hata kidogo unapoteza mafanikio haraka.

Ukitoboa ukiwa Mzee unakuwa na uwezo wa namba 2 & 3 ila na 4 ingawa uwezo wa maarifa unakomaa ila unapungua.
 
Ndo maana nasema hili lipo kwetu sisi weusi kwa sababu hatufundishwi elimu ya pesa utotoni.
Ngono ndio umaliza sana pesa za weusi, wenzetu walishatoka huko.
Wote hao uliowataja wanataka kuchungulia kila mtu
😂😂😂😂
 
Ni maisha tuu hapo katikati kuna mengi watu wanapitia, husda, wivu, fitina, macho ya watu.... ukiyavuka hayo unazeeka na mafanikio yako.
 
Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi?
Je una mifano hai?
Karibuni kwa mjadala huru..!

Nafikiri ni tofauti kutegemea na mtu, Kuna watu wakifika 40 wanakata tamaa Kanisa na hawawezi jaribu kitu. Kwa hiyo ni Bora wafanikiwa mapema.

Kwangu, I so wish ningefanikiwa nikiwa around 40, nilifanikiwabaana nikiwa kwenye 30 na sababu sikujua mambo ya hovyo ya wanawake, mke alinirudisha nyuma sana.

Maturity ambayo niliipata kwenye early 40's imwnifundisha sana, kwa hiyo ni Bora kama ningetoboa around 40 ningekuwa mbali sana.

But all in all, nikiwa na miaka 45 kuelekea 50 mambo yalikuwa mazuri maana sikuwahi kukata tamaa kamwe, looking back, nawaza tu ni jinsi gani wanawake hawafai kwenye Malengo.
 
Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi?
Je una mifano hai?
Karibuni kwa mjadala huru..!
Tatizo hatuna umri maalum wa kuishi. Wakati wowote unakufa.
 
Umri mzuri wa kutoboa ni kati ya 35 na 45 But all in all, nikiwa na miaka 45 kuelekea 50 mambo yalikuwa mazuri maana sikuwahi kukata tamaa kamwe, looking back, nawaza tu ni jinsi gani wanawake hawafai kwenye Malengo.💪🏿
 

Jibu zuri sana
 
Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi?
Je una mifano hai?
Karibuni kwa mjadala huru..!
Ni bora ukatoboa kwa urefu wa kamba ukiwa sii hasani.Faida zake hakuna kikaragosi yeyote anakusumbua,makodi umiza,wala mlolongo sumbufu wa maleseni na maushuru.Hasara zake kuliangamiza taifa na wanyonge wake kupitia maendeleo duni.Mifano hai ipo ya wala kwa urefu wakamba.Mtazamo wangu huru.
 
Kidogo nishindwe kukuelewa😀😀😀
 
Wanaume waliowahi kujipata kisha wakaanguka, 90% wamechangiwa na wenza wao.

Tunaomba uanzishe thread ili kututia akili vijana juu ya hili.
 
looking back, nawaza tu ni jinsi gani wanawake hawafai kwenye Malengo.

Muondoe Kasinde tafadhali kwenye huo mjumuiko wa wanawake.

Si mambo ya 50/50 ama ubishi tuu.... laah hasha!!

Kasinde kama Kasinde siko kama mwingine yoyote yule na sikuwahi mpotezea mtu awaye yote malengo yake.
 
Maisha hayana formula, wewe pambana katika umri wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…