Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

Wanaume waliowahi kujipata kisha wakaanguka, 90% wamechangiwa na wenza wao.

Tunaomba uanzishe thread ili kututia akili vijana juu ya hili.

Si kutetea jinsia ya kike... ama kuilaumu jinsia ya kiume...

Wakati nakua nilishuhudia ndugu na jamaa kwa macho waliofanikiwa miaka hiyo, wanaendesha land-rover oneten ama Peugeot 504 au 505 and the like.

Hao wanaume walikuwa mameneja ama wakurugenzi wa mashirika kadhaa ya uma miaka hiyo. Walikuwa na nyadhfa mbalimbali. Baadhi yao waliacha ama kutaka wake zao wawe mama wa nyumbani na walihudumia familia na kusomesha watoto ila walizeeka ama walifilisika kabla hata ya kustaafu.

Walikuwa wanatumia magari ya uma kuwa na vidosho aka mipango ya kando, walizaa nje hovyo na walitumia pesa nyingi huko nje kuwafurahisha watoto wao wa nje wakiamini hawapati kama wanavyofaidi watoto wa ndani ya ndoa.
Ilhali walikusanya ndugu wa ukoo kwenye nyumba zao na mke alihudumia hiyo familia yote, pesa kubwa ilisomesha ndugu shule binafsi akiamini huo ni iwekezaji hao ndugu wote wakifanikiwa watakuja kumlea eehehehehee...

As we speak baadhi ya hao wazee wamekufa kwa sonona maana ndugu wote waliowahudumia ikiwemo watoto wa nje ya ndoa hakuna hata mmoja aliyewajali wazee hao zaidi yake walimcheka kwanini alikuwa na nyadhfa na hakujiwekea akiba au hakuwa mbinafsi kujua atazeekaje....

Kumbuka mke alikuwa hana usemi kwenye familia na ndugu walikuwa wa mume tuu ndo waliojaa kwenye hizo familia....

Kuna baadhi ya wazee wako hadi leo ila wanahangaika sijui ni laana ama ni nini ila ..... life is bitch!

Hii naongelea mifano hai, mke hakuhusika na kufilisika au kuyumba maendeleo ya mwanaume. Pengine hawa ni 10% ya hao wanaume ila wanavyoumia na hao waliokufq namna walivyoondoka..... ni huzuni.

Hao wazee wote walienda kusoma uingereza miaka ya mkoloni wakarudi kuwa na nyadhfa serikalini na mashirika ya uma.

Saa ingine ni ubabe wa wanaume wenyewe na wanawake hawahusiki, and it pains kuina wanawake wanajumuishwa hata kama asilimia kubwa wanawake wanachangia.

Moral of the Story: kuwekeza kwenye kusaidia ndugu au kusomesha watoto hakukuhakikishii watakuja kukulipa ukiishiwa nguvu za kutafuta hela au ukichoka kimaisha.
Jipange kujimudu kimaisha mwanzo mwisho, mtegemea cha ndugu, hufa masikini.

Na kuna wale wanaishi kutegemea mgonjwa, hawafikirii mgonjwa akipona wanakufa njaa ama mgonjwa akifa wanakufq njaa.

Maisha ni fumbo, ni kuomba Mungu akupe hekima namna ya kuenenda na wanadamu wote unaokutana nao.
 
Bora kutoboa ujanani

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Maisha ni fumbo, ni kuomba Mungu akupe hekima namna ya kuenenda na wanadamu wote unaokutana nao.❤❤📍📌🔨
 
Back
Top Bottom