Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Hii sio ID fake, Chivundu ni jina langu mkuu. 😁
Mkuu nilikutania tu hapo juu kuna member kanimind 😂

Ni hivi Jf wengi huwa wanafanya vitu ila akiulizwa kuhusu hicho kitu huwa anakataa ili apate credit

Ila me nimekubali jibu lako kuwa umeoa na sio kama wengine tunavyotaka kutumia nafasi kama hizo 🙌🏾
 

Yep, nimeoa mkuu. Najua ni utani mkuu. 😁
 
Umepata funzo mkuu😆

Usijitetee sana bwana!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…