Nitajuta kwamba?Sio ukiwa mke ๐ utajuta
Hahahah ugomvi sio mzuri ni bora kujishusha mkuuโบ๏ธYaap we angalia watu wanaogombana humu Jf kama baada ya hapo wanaheshimiana ila live lazma mpeane mipaka ya kweli ๐๐๐
Protein zote kazitia chooni, nikukutana na mabaki mabaki tu hapo huambulii kitu!kabisa ! kama tu unavyosemag wewe flat screen akiolewa na kijana mtuliv kama Mbaga Jr mbona vitadevelop !
hahahaaaaa! nliona kaandika ameacha bcoz of u!Protein zote kazitia chooni, nikukutana na mabaki mabaki tu hapo huambulii kitu!
Kujishusha uongo ni either unipige au nikupigeNitajuta kwamba?
Hahahah ugomvi sio mzuri ni bora kujishusha mkuuโบ๏ธ
Ishakuwa harmful asije umiza mke wa mtu !Imeisha hyo mimi ntakuwa promota wa pambano, utazichapa na Harmful jumamosi hii
Nani anataka kugombana kijana ๐คฃSijapata funzo lolote ๐
Ni hivi kugombana na mwanamke hata normal siwezi
Na kugombana kwa kutype napo siwezi kabisa yaani vita kama hizi nazikwepa tu ๐
Tunaongelea suala jengine kabisa kuwa na AmaniNani anataka kugombana kijana ๐คฃ
Nb: mimi napenda utani ila sio wa kudhalilisha natamani hii issue usiikuze na kuendelea kuizungumzia naona ushakua mjadala tena๐ค
Funga macho tuombe amenSio mbaya nzi kufia kwenye kidonda. Hivyo usiwe wasiwasi. Endapo nitakufa kipindi nipo kwenye mapenzi na wewe... Basi kaburini nitaingi nikiwa natabasamu.
Nielewe tafadhari, namaanisha ninachosema.
๐
Hahahaaaaa
Mimi nataka kugombana upo wapi nije tuzichape ๐Nani anataka kugombana kijana
Ngoja aje pande izi !Huyo si mshangazi nitapelekwa kwenye dawati la jinsia รญ ยฝรญยธรญ ยฝรญยธรญ ยฝรญยธ
๐ usiogope ntakutaftia mwanasheria mzuriHuyo si mshangazi nitapelekwa kwenye dawati la jinsia ๐๐๐
Legeza chaga sweetheart...
Mwanasheria Mbaga Jr !ntakutaftia mwanasheria mzuri
Mimi nataka kugombana upo wapi nije tuzichape ๐
Unataka pambano ganiMimi nataka kugombana upo wapi nije tuzichape ๐
mapambano yote mpaka apatikane mshindi, tunaanza hilo la pili kwanza๐Unataka pambano gani
Nipo vizuri kwa ndondi
Nipo vizuri kulombana unataka tuanze na pambano gani
Una uwezo wa kufunga goli kama la chama?
Unataka kijana afungwe kaka๐Mwanasheria Mbaga Jr !