Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
kesi ikiwa ngumu si anakimbia nduki uyo !Unataka kijana afungwe kaka
Akili mingi unajichagulia etπ€£mapambano yote mpaka apatikane mshindi, tunaanza hilo la pili kwanzaπ
Kaandika niniπhahahaaaaa! nliona kaandika ameacha bcoz of u!
Wewe mwenyewe umesema huwezi kupigana na wanawake! Tena unipigie niniπ€£ nakulaza polisiπKujishusha uongo ni either unipige au nikupige
Ah wapiπIla naamini baada ya hapo tutaheshimiana π
Mbibi proπ€£
Hapo nimesema mwanaume Mwenzangu tunayetoshana nguvu πWewe mwenyewe umesema huwezi kupigana na wanawake! Tena unipigie niniπ€£ nakulaza polisiπ
Ah wapiπ
Kwa kosa gani?Huyo si mshangazi nitapelekwa kwenye dawati la jinsia πππ
Broo tuoe sasa tunazeekaπ€£π€£Brooooo!
π
aliandk kaacha kujichukulia sheria mkononi !Kaandika nini
Hawezi kuacha huyo!aliandk kaacha kujichukulia sheria mkononi !
πππππΏππΏππΏππΏππΏHawa hapa hawa,
Mmoja sura nzuri, mwingine shepu nzuri na mwingine tabia nzuri.
Seran
ShesRise_1
win-one
nikiwaweka ndani, sina stress na maisha.
Ndugu Mshana Jr nisaidie katika hili.[/b]
Hiko ti ndo tunaangalia mengine badae kwanza ππ