Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Sura na shape aisee.

Mambo ya kuoa tabia kumbe anakuigizia, then baadae anaanza kuonyesha makucha.

Unakua umepata hasara mbili. Muonekano mbovu. Tabia Mbovu.

Bora hasara nusu.
Double loss.. Double damage..triple stress 🙌🏿😀🏃🏿
 
Yupo mwanamke ni mzuri wa tabia na kila kitu, ila anakuwa spoiled katika pitapita yake. Huyu akipata chaka zuri waga anakuwa mwema na anabadirika kabisa.*
Kuna watu wameoa ma barmaids, wauzaji na madanga na ndoa zipo poa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…