Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Sasa hao hawaangalii miruzi wanaangalia maslahi! Kama unaye means unammudu basi mweke katiπŸ˜ƒ

Mwanamke akiwa wa maslahi, maana yake ni wa wote! Yaani miruzi anapigiwa mingi na anaitikia. Mwanamke anapaswa awe contented, akiweka maslahi mbele, basi kuna watu wanatumia hiyo kama chambo ya kumnasa. 😁
Demu mpenda maslahi, anapigika kirahisi, sawa na mbwa mroho.
 
Dahhh lakini bado unachagua kuwa naye tu na unajua ni wa namna gani?πŸ€”
 
Aanh mi ntampiga panga mchana kweupee acha atulie huko aliko tuπŸ˜‚

Ila kuna fact moja tunaisahau. Wanawake waga wanabadirika, unaweza ukaoa Barmaid akaja kuwa mke mzuri, akakulea, kukutunza, kukuheshimu na akasahau yote ya nyuma. Ila sio wengi wa namna hii.
Wakati mwingine, wanawake kinachowafanya kuwa walivyo ni life tuu ! Ila akipata chaka zuri anabadirika anakuwa mtu mwema sana.
 
Huyu ankuwa amaeshajifunza maisha! Niliona humu wanasema kwamba akipata mtu wa kumkumbusha anarudi kule kule!sijui kama ni kweli au la..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…