Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
NdioYupi Emily? 😁
Mimi jana tu nimekesha bar sifai kijanaUsijali tutaishi kwa furaha na amani kwenye mapenzi yetu.
I LOVE YOUUnasema je kijana
ondoa shaka ndugu yangu lazima tule pilau mwaka huu 😁
Shukran 👏I LOVE YOU
Mimi jana tu nimekesha bar sifai kijana
Nina tabia mbaya
mbona mi sina hata kimoja kati ya ulivyo vitaja,, nitoe hapo weka mwingine😎Hawa hapa hawa,
Mmoja sura nzuri, mwingine shepu nzuri na mwingine tabia nzuri.
Seran
ShesRise_1
win-one
nikiwaweka ndani, sina stress na maisha.
Ndugu Mshana Jr nisaidie katika hili.[/b]
Duhh mkuu! Basi utakuwa una mke perfect ever! Yaani mpaka flat foot ina affect ndoa!!🫢 sawa bana wafupi kama stuli na wenye sura pana kama pazia tumekaa pembeni, watakao baki watatukuta😥Balance ni muhimu sana kwa sababu lazima ufikirie kizazi kitakachokuja kuzaliwa kitakuwaje?. Hata ng'ombe na kuku tukitaka kupandikiza lazima tuchague dume bora, good genes ni muhimu.
Usipoangalia binti zako wanaweza kuja kukosa wachumba ukubwani,ukawa na watoto wa kiume wafupi kama stuli. Wakaishia kushindwa kuingia jeshini kwa sababu ya kimo,wakakosa fursa za michezo kwa sababu ya kimo pia.
Ukitaka kuoa chunguza sana phenotype,ana nywele,kimo, rangi yenye nuru, akili za maisha. Hakikisha hana magonjwa ya kurithi,kigugumizi,ualbino, allergy za ajabu ajabu,sura isiwe pana au nyembamba sana. Mwanamke hatakiwi kuwa na flat foot nk .
Ndio
Pisi kali hutaki mazoea🤣mbona mi sina hata kimoja kati ya ulivyo vitaja,, nitoe hapo weka mwingine😎
Aah akwendree mimi simtaki🫢Ila haimzuii kupenda na kuoa! 😁
Week ijayo kote huko?Ngoja nijiandae mshenga kupeleka posa, wiki ijayo ndoa ifungwe hakuna kuchelewa 😁
Aah akwendree mimi simtaki🫢
Mi nae issue za ndoa wapi na wapiUtabadirika tuu, utakuwa mke mwema!
We unashinda bar! Kuna watu walikuwa wauzaji, wakaolewa na wakawa na familia bora na nzuri. 😁
Maelezo ya nini watu tunawaza pesa tu🤣Usiusemee moyo, mruhusu kijana ajieleze ndo umchuje. Mpe nafasi.