Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Ndoa ni taasisi, watu wanajengana humo humo, kila taasisi ila "organization behaviour". Utafurahia tuu, kikubwa jamaa awe mtu mwema. 😁
Jamaa gani sasa 🤣
Halafu nimeshindwa kujijua kama mimi nipo kundi gani la wenye sura nzuri shape au tabia mbaya
Heheheh
 
Duhh mkuu! Basi utakuwa una mke perfect ever! Yaani mpaka flat foot ina affect ndoa!!🫢 sawa bana wafupi kama stuli na wenye sura pana kama pazia tumekaa pembeni, watakao baki watatukuta😥
Don't take it personal,sijaoa bado natafuta😂😂😂😂.
 
kabsa bwashee mwanamke wa maonesho kwa ndugu na marafk hafai kuoa, ni stress.
Na kizaz chako unakua umekiharibu.
Mim huwa namwonea huruma mwanangu kulelewa tofaut, atakuwa kama mtoto wa nje
 
kabsa bwashee mwanamke wa maonesho kwa ndugu na marafk hafai kuoa, ni stress.
Na kizaz chako unakua umekiharibu.
Mim huwa namwonea huruma mwanangu kulelewa tofaut, atakuwa kama mtoto wa nje

Ishu ya mtoto, usiache kuweka ukaribu na mtoto, mtoto ukimhudumia na kumpenda atajua kuwa wewe ni baba, hata kama yupo kwa mama yake.
Kuwa nae karibu, hakikisha anapata mahitaji yote muhimu na upendo wako.
Akifika legal age, unamchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…