Umeiona wapi?Unawaza nini?
Unakumbuka mini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
Unawaza nini?
Unakumbuka mini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
Huwa linanikumbusha maumivu makali sana.Unawaza nini?
Unakumbuka mini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
Si ambulance zote hubeba wagonjwa zingine huwa na vifaa tiba tu.Unawaza nini?
Unakumbuka mini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
Kuna watu hawana hizi experience.. Ila zimebeba kumbukumbu mbaya na maumivu mengiHuwa linanikumbusha maumivu makali sana.
Nakumbuka mamaangu alipozidiwa na ikatakiwa tumuhamishe hospital tuliambiwa tusubiri Ambulance imepeleka mgonjwa wilaya nyingine irudi ndipo na sisi tumsafirishe mgonjwa wetu.Tulisubiri masaa sita mpaka pale liliporudi ndipo tukapewa sisi tumpeleke mgonjwa hospital ya rufaa.Nakumbuka nilipanda mimi,Nesi na mzee wangu na mimi nilitakiwa kumpakata mamaangu akiwa na drip mkononi.Dah, hizi barabara zetu na ile ambulance haikuwa na kitanda zaidi ya siti zakukunja tulipata sana shida, hadi tunafika hospital kiukweli mama alikuwa hajiwezi.
Alilazwa wiki moja na alifariki dunia mwanzoni mwaka 2024 tu.
So, nikizionaga Ambulance namkumbuka mamaangu tu.Inauma ila ndo huwezi kupita wiki hujakutana nazo barabarani. Upumzike kwa amani Mamaππππππ
Acha kabisa!! Ndo imeshakuwa sehemu ya kumbukumbu yanguKuna watu hawana hizi experience.. Ila zimebeba kumbukumbu mbaya na maumivu mengi