Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Hapo unanipa room ya ku question upendo wako kwa huyo mtu. Ama kama bado unampenda? Yaan kama humpendi mtu hata kusex nae tu itakuwa issue.

Much less fantasies, lakin me najua upendo unaletaga upofu. Hata kama mhusika ni osama ama muuaji. Au chinja chinja. Ukikubal kuolewa na mtu uhakikishe hutabadili jicho lako kwake jinsi wamwona. Hata akiota kitambi ama akipata wrinkles au akiwaje.

Hata izo fantasies so long unampenda utamfanyia mara moja moja. Na yeye ataona kwel huyu kajitoa. Badala ya kwenda kwa wachawi na walozi ama wanga kuzitafuta kisha akapata fantasies na kuwa ndondocha yao.

Hebu tuwaonee huruma hawa viumbe mbona wana role kubwa sana kwa Dunia na kwa maisha!?

Mwanamke mpumbavu ni sumaku ya kuvuta maafa na anguko la mwanaume. Tena kwa upesi.
Love you
 
Back
Top Bottom