mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
hivi fantasy yako ipoje😅 nnavokujua hicho kichwa chako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nimecheka balaa hadi nimemkumbuka best yangu H na mwenzie F walivyokua wanapigana miti home kwao H alafu me mlinzi wao!!! Basi muda wote nawatisha, “hao wanakuja” basi wanakurupuka kuja kuhakikisha, wanasema sio wao kisha wanarudi teeena!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]