Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu uduguu sijui km ana fantasy, yeye buzzy kusaka maokoto
Ulijuaje? Wakinga na pesa 😹😹😹

Sasa hivi fantasy yangu ku-date na kibabu kitata na kijuaji Kama Kiranga nikikalie nikiendeshe kama baby walker πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Nakuja huko nikupe utakacho, halafu ukahadithie wenzako kama mimi m babu m babe au mbabe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haliki hata kwa chumvi, hujawahi kuona hata pochi nzuri au nguo mtandaoni ukatamani uipate uitafune,, ndo huyo sasa wa kufinyangwa kama marehemu,,
😹😹😹😹 Kwahiyo fundi haliki kwa chumvi? Nimecheka sana’a

Mimi nna ako katabia naweza nikakipenda kitu sana!! Nitakipigania mpaka nikipate halafu nikikipata nakichukia nachoma moto au nakigawa..!!
 
😹😹😹😹 Kwahiyo fundi haliki kwa chumvi? Nimecheka sana’a

Mimi nna ako katabia naweza nikakipenda kitu sana!! Nitakipigania mpaka nikipate halafu nikikipata nakichukia nachoma moto au nakigawa..!!
Usiombe icho kitu kikawa ni mkakaπŸ™ŒπŸΎ
 
Usiombe icho kitu kikawa ni mkakaπŸ™ŒπŸΎ
Why wakaka?
Wanakusumbua sana? 😹

Mimi wakaka sijawahi kuwapa kipaumbele cha kuwapigania. Nawaona ni kama soda nikitaka kunywa nakunywa tu..!!
 
Why wakaka?
Wanakusumbua sana? 😹

Mimi wakaka sijawahi kuwapa kipaumbele cha kuwapigania. Nawaona ni kama soda nikitaka kunywa nakunywa tu..!!
Hahaha wananisumbua nikiwa wapi? Nasema tu ile umesema huyu ningempata! Akijileta tu unamkinai😁

Kwahiyo lamo unakunywa wakaka kama soda wapi nami nije🀭
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu una nini lakiniii??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii tuko sambamba, ndio taste yangu haswaa, yaani napendaga wale wabishi, wajuaji, watata,
Najiona km niko paradise. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha wananisumbua nikiwa wapi? Nasema tu ile umesema huyu ningempata! Akijileta tu unamkinai😁

Kwahiyo lamo unakunywa wakaka kama soda wapi nami nije🀭
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha wananisumbua nikiwa wapi? Nasema tu ile umesema huyu ningempata! Akijileta tu unamkinai😁

Kwahiyo lamo unakunywa wakaka kama soda wapi nami nije🀭
Njoo bonyokwa huku wakaka tunawanywa km soda tukimaliza tunatupa chupa na teke 😹😹😹

Mimi naweza nikampenda mtu vizuri lakini hiyo mtu kunivua nguo zangu atasubiri sana..!! Tena akiniambia njoo sijui tufanye hivi aiseee siendi na siku hiyo hiyo penzi linakufa. Hii kitu kuna siku nitaiandikia uzi nijue km wapo wenye hili tatizo au ni mimi tu..!!

Kuna mwanaume nilikuwa nampenda vizuri. Tunataniana kimahaba vizuri tu.!!
Siku moja aliniambia tukutane sehemu moja katikati ya jiji kwenye hotel moja hivi.

Nilifurahi hiyo siku nikajiandaa, huwezi amini nikafanya shopping ya nguo, viatu na accessories kabisa. Na zawadi nikambebea. Nakumbuka nilimnunulia iPhone 14 Pro Max (Hapa kwanza ncheke) sijui nini kilitokea. Nikaita msusi anisuke home. Nikapendeza balaa!! Nilitaka kumvuruga babe.

Sasa si unajua wanawake na vioo.
Nikarudi tena cha mwisho mwisho nijiangalie nikajiona kwa namna nyingine.

Hivi huu Uzuri na urembo wote nikampe yule tumbili anisalaule, anichungulie na kunibinua binua then what??
Nikaona huku ni kujikosea heshima mwenyewe. SIWEZI

Nikavua nguo na makorokoro yote. Simu nikampa kijana wangu wa dukani ambaye nikisafiri anasimamia biashara zangu.
Picha likaishia hapo na yule bwana nikamlamba block. 😹😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii tuko sambamba, ndio taste yangu haswaa, yaani napendaga wale wabishi, wajuaji, watata,
Najiona km niko paradise. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹😹 Na wewe humo kumbe?
 
Yani mpaka sasa sijaelewa kwanini uliwaza hivyo? Ni either sio type yako au? Ni mpenzi ulonaye kabisa au ni mtu mli-click tu? maswali ni mengi lamo tell us more🫒 au hukumpenda vzr au haukuwa naye pekee yakeπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ Lamo unanivurugaπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ

Anyways; Hao wanume wa bonyokwa baki nao tuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…