Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

😹😹😹 Au mwanaume 24/7 yeye anaongelea siku ukimpa kei atakachokufanya..!!
Watu Kama hawa kwanza wana mchango mdogo kwa taifa, siwezi kabisa kumtilia maanani namuona maisha yamempiga mpk kwenye ubongo..!!
Nilishawahi kutana na wa hivi nikasema leo nikajionee maajabu ya dunia! Hmm hmm ana kitunguu mwanangu🤦🏽‍♀️
 
Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
😂😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Nimeona huyo rafiki yake tajiri wa mafuta hanipi bora tumalizane na yeye mwenyewe..!!

Uduguu kiranga wako mi nachangamsha kijiwe, napenda tu kumtania kiranga mzee wa NYC
 
😹😹😹 Nimeona huyo rafiki yake tajiri wa mafuta hanipi bora tumalizane na yeye mwenyewe..!!

Uduguu kiranga wako mi nachangamsha kijiwe, napenda tu kumtania kiranga mzee wa NYC
😂😂😂😂😂😂😂 naelewaa mahi, full kutoa heka heka ndani ya JF.
nimemic shengesha za Selfikaa. Woiiiih
 
Sasa hao wenu si ntapigwa mabao mimi😆
😂😂😂😂😂 sema ndo inakuaga trury love.
Mie na mwenzangu tunasemaga, sisi sio wapenzi, ni kundi la wahalifu.
😂😂😂😂😂😂
 
Njoo bonyokwa huku wakaka tunawanywa km soda tukimaliza tunatupa chupa na teke 😹😹😹

Mimi naweza nikampenda mtu vizuri lakini hiyo mtu kunivua nguo zangu atasubiri sana..!! Tena akiniambia njoo sijui tufanye hivi aiseee siendi na siku hiyo hiyo penzi linakufa. Hii kitu kuna siku nitaiandikia uzi nijue km wapo wenye hili tatizo au ni mimi tu..!!

Kuna mwanaume nilikuwa nampenda vizuri. Tunataniana kimahaba vizuri tu.!!
Siku moja aliniambia tukutane sehemu moja katikati ya jiji kwenye hotel moja hivi.

Nilifurahi hiyo siku nikajiandaa, huwezi amini nikafanya shopping ya nguo, viatu na accessories kabisa. Na zawadi nikambebea. Nakumbuka nilimnunulia iPhone 14 Pro Max (Hapa kwanza ncheke) sijui nini kilitokea. Nikaita msusi anisuke home. Nikapendeza balaa!! Nilitaka kumvuruga babe.

Sasa si unajua wanawake na vioo.
Nikarudi tena cha mwisho mwisho nijiangalie nikajiona kwa namna nyingine.

Hivi huu Uzuri na urembo wote nikampe yule tumbili anisalaule, anichungulie na kunibinua binua then what??
Nikaona huku ni kujikosea heshima mwenyewe. SIWEZI

Nikavua nguo na makorokoro yote. Simu nikampa kijana wangu wa dukani ambaye nikisafiri anasimamia biashara zangu.
Picha likaishia hapo na yule bwana nikamlamba block. 😹😹😹
Mgonjwa mwingine huyu hapa🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂😂 sema ndo inakuaga trury love.
Mie na mwenzangu tunasemaga, sisi sio wapenzi, ni kundi la wahalifu.
😂😂😂😂😂😂
Aisee mimi Kupigwa sitaki ntakujazia nzi bure😅
 
Huyo mzee full package, vitu vyangu kabisaa 😹😹😹

Picha linaanza wa kishua afu mjanja.
Huyo kazamia maandishi matatu kitambo, humdanganyi kitu..!!
Khee huyo anawezana na wewe😂 mzee mjuaji hakuna asichokijua mbishi! Anamanipulate huyoo🙌🏾
 
Wee mzee huku umefata nini? 😹😹

Huo sio ugonjwa ni kujipenda mwenyewe bhana..!!
Wewe unaumwa wala sio kingine, huwezi kujiparua, umenyoa kipapa kabisa watu wakakifurahie eti from nowhere unakata mood.

Watu kama nyie mkiingia kwa ndoa mnakuwa wanyimi sana wa papa🤣
 
Wewe unaumwa wala sio kingine, huwezi kujiparua, umenyoa kipapa kabisa watu wakakifurahie eti from nowhere unakata mood.

Watu kama nyie mkiingia kwa ndoa mnakuwa wanyimi sana wa papa🤣
Kwanini unawaza papa tu😃
we mzee na uke🙌🏾
 
Back
Top Bottom