Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Unahairisha tu haujawa tayari, saa ingine hamkuwa na makubaliano hayo afu jamaa anajikuta mjanja tu, unapita shwaaa😅
Haujawa tayari vipi wakati umekubali hadi machinjioni umeenda, huo nao ugonjwa tu.
 
Haujawa tayari vipi wakati umekubali hadi machinjioni umeenda, huo nao ugonjwa tu.
Unaitwa ugonjwa gani? Yani we mzee umeniita sehemu tuonane tufahamiane vizuri tu, kwa upumbavu wako unaenda kulipia hotel? Nikija natulia tu ila ndio ntakushangaza aisee😂
 
Unaitwa ugonjwa gani? Yani we mzee umeniita sehemu tuonane tufahamiane vizuri tu, kwa upumbavu wako unaenda kulipia hotel? Nikija natulia tu ila ndio ntakushangaza aisee😂
Noma sana, vijana mna mambo sio kidogo, bora tumeshazeeka sasa!!
 
Wewe unaumwa wala sio kingine, huwezi kujiparua, umenyoa kipapa kabisa watu wakakifurahie eti from nowhere unakata mood.

Watu kama nyie mkiingia kwa ndoa mnakuwa wanyimi sana wa papa🤣
Hii imekuuma kutoka moyoni 😹😹
Kipapa changu nakipenda aisee kukigawa nakionea huruma..!!!

Mzee unapenda vipapa weyeee.!! 😹
 
Back
Top Bottom