Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Wewe ni Jeffrey Eipstein kabisa.

Watu wanashtushwa na matukio ya Eipstein files.

Lakini fantasy za namna hii zinaanzia hukuhuku.

Watu wengi wana fantasy za ajabu sana. Sema tu ni vile uwezo na uhuru wa kuzifanya ndio haupo.

Sasa wakitokea matajiri wenye nguvu na uwezo ndio unaskia ishu kama Eipstein files na Dubai porta potty. Watu wananyewa midomoni na kula vinyesi.
 
Wewe fantansy yako ni ipi mkuu?
 
Wewe toa fantasy yako acha kujudge wenzio, wabongo sijui mkoje yani,
Bora yeye kasema ukweli, yaweza kua yako ndio worst hata kuimagine mtu unaogopa.
 
My wii wewe ni katili vipi kama alikunywa mkongo😂😂😂
 
Lamomy upo kwenye list yangu we subiri tu siku nakupigia twen'zetu Dubai nikakukojoleshee😂

Kabisa mtu ukiwa na pesa kuna mawazo mawazo ya ajabu yanakuja ndio maana matajiri wana starehe za ajabu sana
😹😹😹😹 Aiseee!!
Hiyo michezo sijwahi, sa ikiwa inabamba si nitanogewa…!!

Kwahiyo unaenda kunikojoza ndani ya Dubs..!! Nitakojoa kiarabu habibty 😍
 
My wii wewe ni katili vipi kama alikunywa mkongo😂😂😂
😹😹😹 Atajiju!!
Hii tabia naipenda kweli.

Kuna likizo moja nilienda kumsalimia bibi, sasa si unajua ukifika binti wa mjini vijana wa mkoani shobo nyingi km wameona almasi.

Kuna jamaa akajitosa kuniwinda asijue km anawinda fisi. Basi nilimlia tuhela twake nikampanga njoo home ukifika rusha jiwe kwenye bati nitatoka twende ghetto. Lilivyo zuzu likaja kweli, akarusha kijiwe kidogo nikakausha…!!

Akaongeza lingine mlio ukazidi wa mwanzo, babu akauliza nini hiko? Eehh asichukue jiwe kubwa sijui tofali lile weeh tukasikia “Buu” juu ya bati. Akatoka babu na gobole alimkimbiza..!! 😹😹😹

Kesho yake nimepita kijiweni namuita mchumba mambo? Akaniambia “Achana na mimi nipotezee”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…