KAmanda ni wewe kweli??😂
Kuna nini bwashee 😆KAmanda ni wewe kweli??😂
Hatari mno
na usiku usiku wote huu
Sisi tunapambana kuongeza idadi ya wapigania katiba bwasheeKatiba mpya
Dokta aachiwe
Enzi zetu kabla ya Mo29 ulikua bandidu sana hazikua mambo zako hizi😂Kuna nini bwashee 😆
Amenichokoza mwenyewe. Sasa nataka nimuoneshe kazi leo.Huyo si wa kiume bwashee?
Msamehe tu bwashee , iwe kwa niaba yangu ,sisi tunywe bia tuAmenichokoza mwenyewe. Sasa nataka nimuoneshe kazi leo.
Hivi vibinti ukiviachia vinakupanda hadi kichwani.
Bwashee mimi bado ni bandidu , tena sasa hivi ndio nimezidi mno😁Enzi zetu kabla ya Mo29 ulikua bandidu sana hazikua mambo zako hizi😂
Nimemsamehe bwashee kwenye Uzi huu tukufu. Ila nakwenda zangu Moja kwa moja kumkanda kwenye Uzi wake.Msamehe tu bwashee , iwe kwa niaba yangu ,sisi tunywe bia tu
Hii style yako mpya ni baab'kubwaBwashee kuna nini kwani😅
Ila kwa alichokijibu, napata mashaka. Angalia jibu lake hapo😅Huyo si wa kiume bwashee?