KAmanda ni wewe kweli??π
Kuna nini bwashee πKAmanda ni wewe kweli??π
Hatari mnoπ«©π«©π«©π«©
na usiku usiku wote huu
Sisi tunapambana kuongeza idadi ya wapigania katiba bwasheeKatiba mpya
Dokta aachiwe
Enzi zetu kabla ya Mo29 ulikua bandidu sana hazikua mambo zako hiziπKuna nini bwashee π
Amenichokoza mwenyewe. Sasa nataka nimuoneshe kazi leo.Huyo si wa kiume bwashee?
Msamehe tu bwashee , iwe kwa niaba yangu ,sisi tunywe bia tuAmenichokoza mwenyewe. Sasa nataka nimuoneshe kazi leo.
Hivi vibinti ukiviachia vinakupanda hadi kichwani.
Bwashee mimi bado ni bandidu , tena sasa hivi ndio nimezidi mnoπEnzi zetu kabla ya Mo29 ulikua bandidu sana hazikua mambo zako hiziπ
Nimemsamehe bwashee kwenye Uzi huu tukufu. Ila nakwenda zangu Moja kwa moja kumkanda kwenye Uzi wake.Msamehe tu bwashee , iwe kwa niaba yangu ,sisi tunywe bia tu
Hii style yako mpya ni baab'kubwaBwashee kuna nini kwaniπ
Ila kwa alichokijibu, napata mashaka. Angalia jibu lake hapoπHuyo si wa kiume bwashee?