Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Jf administrators hatimaye mnaenda kuiua Jf kifo cha kibudu kwa kuruhusu watoto wa Fb waanze threads za kijinga kama hizi.

Inabidi mkae chini muweke exclusion & inclusion criterias za discussions za kuanzishwa humu ndani.

La sivyo Jf itakuwa siyo "Home of Great Thinkers" tena!
 
Mama amesema hataki watoto wala hana na pia amenieleza pia nam niwe mwanifu kama yy. Ila kweli penzi la mama ni soo sweet sana.
 
Nikitaka kujiona sina dhambi napita hapa kusalimia πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…