Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Pole sana, fanya mazoezi ya viongo,acha porn graphics na kula vyakula vya asili epuka chips na vyakula vya kukaangwa pia matunda zingatia hasa matunda ya rangi ya njano kma maboga tikit nk
Kwahiyo mihogo, viazi vitamu, mviringi, samaki, vyote asile kisa vimekaangwa?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119] daaaaah
 
Ila we jamaa ni **** kinoma yaan nimecheka kinoma
 
Mwakilishi Mstaafu wa Kanda ya Pwani wa CHAPUTA naongea kaeni kimya ndugu zangu.

Kwanza kabisa nakupa baraka zote za kuhama hiki chama karibu Chama Cha Kupindua tumuunge mkono Rais.
Kuna usemi wa kisukuma unasema "Making love is like crossing a bridge you either need a good partner or good hands" Walisahau kumalizia kua soon hata mikono yako itakua inatetemeka kiasi hautaweza kujishikilia hapo darajani.

Najua kua puchu ina uraibu, siyo kosa lako umenaswa kwenye mtego wa 'Utamu Kiganjani Mwako' it is so sweet hakyanani ila soon utakuja kugundua this is bullshit I gotta stop this.

Ushauri wangu mimi na namna ya kuacha ni siyo kula vizuri au kufanya mazoezi, ukila vizuri sana sana utajaza protini itakayotaka kutoka.

Anza kwa kupanga ratiba zako. Mfano Kulala iwe saa nne, kuamka saa 12. No negotiation ukifika muda wa kulala, lala, wa kuamka, amka. Wengi hua tunafeli mida hiyo mtu unaona aah mbona usingizi hauji ngoja nishtue kidogo au dah nimeamka saa 12 halafu nahitajika ninyanyuke saa mbili ngoja niamshe kidogo.

Kwa uelewa wangu hili la kupanga ratiba ni jambo litakalokuokoa kuliko mazoezi na chakula combined.

Kutohisi raha ya **** ni udhalilishaji, kila utakapotaka kupiga puchu wazia udhalilishaji ulioifanyia **** yako na unavyojidhulumu nafsi. Kila ukijisikia kupiga puchu ingia online angalia confessions za watu wakilaumu puchu ilichowafanya. Kisha niangalie kiongozi wako nilivyovua gamba nikasepa.

Kama unaishi peke yako hebu anza kuishi na mtu (hata mimi niite tuishi wote [emoji83] [emoji83] ) kukaa/ kulala peke yako kunakuaga na tabia mbaya sana. Utakaa kidogo mara unashangaa mkono umeanza kukanda ngano Slowly (Do you Believe in Love? How crazy it could be? Baby baby its..)Sorry wimbo wa Slowly wa Meddy ulinichota. The point is usikae peke yako. Cheki hata muvi, huna? Nitakuelekeza jinsi ya kudownload.

Usiwe idle. Hapa simaanishi ujioverwork ila tafuta kakitu ka kukufikisha saa nne muda wa kulala. Soma articles online (Utawaumbua mbuzi wengi wanaoweka vitu jukwaa la Intelligence) jifunze kupiga gita, jifunze kutengeneza beat kupitia FL Studio, jifunze lugha nyingine kwa kutumia Duo Lingo. Anything just don't stay idle.

Kwahiyo mmemind naongea sana?
 
Nitarudi kusoma za waliochelewa kuchangia
 
Mkuu mueleze huyo demu wako tatizo lako then awe anakupigisha yeye .utazoea hiyo ya yeye ni bora kuliko peke yako
Kupoteza hamu na watoto wa kike ni hatari sana kwa afya yako (i hope umeelewa nachomaanisha)[emoji23]
 
Njia ya kukurudisha kama zamani? Zamani ndio ulikuwa gwiji la punyeto, hivi karibuni umeanza juhudi za kuacha hiyo tabia, lakini sasa hivi unataka tukushauri urudi uwe kama zamani. Hatari sana.
 
Kabla sijakomenti naomba kujua kwanza huwa unaangalia video za ngono kabla ya kupiga punyeto?
 
Kumbe james ni demu[emoji23]
 
Akifeli tena haoa hapa ana laana
 
daaaah pole zakooo....tembeleaa wataalam(hospital)... watakusaidiaa
 
Nimecheka kiquma sana we ni munoma hasa kile kipengele eti uende mkalale wote[emoji2]
 
Njia ya kukurudisha kama zamani? Zamani ndio ulikuwa gwiji la punyeto, hivi karibuni umeanza juhudi za kuacha hiyo tabia, lakini sasa hivi unataka tukushauri urudi uwe kama zamani. Hatari sana.
Eti gwiji la punyeto🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ACHENI HIZOO ACHENI HIZOO
 
mwanaume halisi lazima upitie nyeto bwana...
Huyo sijui hakusomea boding maana watu days wanakutana na dadaz sana sema yy ndo na huo upungufu wa power za me basi ndo ishakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…