Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kamua nyeto kama kawaida ila punguza mara za kuifanya, na usiifanye kwa kutumia pono
 
Sijambo sana, ingawa roho inaniuma sana skuizi kila nikizoza nakataliwa. Eti mnataka hadi nibadilishe liavatar langu lenye sura nzito.....[emoji29] [emoji29]
usibadilishe wenye hiyo sura anapendwa maana anajua kuhonga [emoji23] [emoji23]
 
Kama unataka kuacha punyeto. Piga kutwa mara tatu asubuhi mchana na jioni halafu amka saa sita usiku piga punyeto mara mbili. Fanya hivyo kwa muda wa miaka 7.
Zingatia hiyo dozi
 
PIGA PUNYETO YA DONDOLA,,AU NYUKI...hyo ndy suluhisho mkuu,,,CHUKUWA kifuko EMPTY cha ICE CREAM kwa UKUBWA wa DUSHE lako,,,CHUKUWA DONDOLA,,AU NYUKI WAWILI,,,wafungie kwenye KIFUKO,,,ingiza DUSHE humo ndani,,,funga pamoja,,,sasa vuta hisia ya DEMU UMTAKAYE KUMPIGIA NYETO,,,,kama ni ZARI,,au SANCHOKA,AU HATA JAMES DELICIUS,,,MKUU,,,huwezi amini ndani ya nusu dk UTAPIGA GOLI ,,dabble dabble HUJAWAHI mkuu,,na ukitoka hapo KICHWA cha DUSHE kinakuwa kama RUNGU..lakini ndy DAWA mkuu,,ile unasubiri KICHWA kipowe,,tayari MWEZI MMOJA ushapita,,UNAKUWA USHAPONA MKUU,,,nipe marejesho,,,BAADA YA MWEZI,,,,,KAMA LITAJIRUDIA TENA nakupa DOZE ingine...
Hee jamani[emoji27]
 
PIGA PUNYETO YA DONDOLA,,AU NYUKI...hyo ndy suluhisho mkuu,,,CHUKUWA kifuko EMPTY cha ICE CREAM kwa UKUBWA wa DUSHE lako,,,CHUKUWA DONDOLA,,AU NYUKI WAWILI,,,wafungie kwenye KIFUKO,,,ingiza DUSHE humo ndani,,,funga pamoja,,,sasa vuta hisia ya DEMU UMTAKAYE KUMPIGIA NYETO,,,,kama ni ZARI,,au SANCHOKA,AU HATA JAMES DELICIUS,,,MKUU,,,huwezi amini ndani ya nusu dk UTAPIGA GOLI ,,dabble dabble HUJAWAHI mkuu,,na ukitoka hapo KICHWA cha DUSHE kinakuwa kama RUNGU..lakini ndy DAWA mkuu,,ile unasubiri KICHWA kipowe,,tayari MWEZI MMOJA ushapita,,UNAKUWA USHAPONA MKUU,,,nipe marejesho,,,BAADA YA MWEZI,,,,,KAMA LITAJIRUDIA TENA nakupa DOZE ingine...
Upo vizuri mkuu
 
Nilianza kupiga punyeto mwaka 2007 nikiwa kidato na nimepiga kiasi Cha kutotaka uhusiano na msichana yeyote na Imefikia Hatua sioni Haja ya kua na msichana yeyote nilitafuta ushauri mwaka huu kutoka wadau mbali mbali wakanambia niwe na Msichana nikifanya ivyo but sisikii Raha kabisa nikiwa kitandani na msichana na Nina wiki moja tu tangu nianze mchakato huu nisaidueni tafadhali njia za kurudia kuwa kawaida kama zamani Ni tatizo na nasumbuka nalo Sana
Natamani kuwa kama wanaume wengine tafadhali nisaidueni
Mkuu sio peke yako hilo ni tatizo... naweza kutoka sasa hivi mzigon na msichana akiondoka naingia mzigoni yani tabu tupu kuacha nayo imekuwa ngumu
 
Mwakilishi Mstaafu wa Kanda ya Pwani wa CHAPUTA naongea kaeni kimya ndugu zangu.

Kwanza kabisa nakupa baraka zote za kuhama hiki chama karibu Chama Cha Kupindua tumuunge mkono Rais.
Kuna usemi wa kisukuma unasema "Making love is like crossing a bridge you either need a good partner or good hands" Walisahau kumalizia kua soon hata mikono yako itakua inatetemeka kiasi hautaweza kujishikilia hapo darajani.

Najua kua puchu ina uraibu, siyo kosa lako umenaswa kwenye mtego wa 'Utamu Kiganjani Mwako' it is so sweet hakyanani ila soon utakuja kugundua this is bullshit I gotta stop this.

Ushauri wangu mimi na namna ya kuacha ni siyo kula vizuri au kufanya mazoezi, ukila vizuri sana sana utajaza protini itakayotaka kutoka.

Anza kwa kupanga ratiba zako. Mfano Kulala iwe saa nne, kuamka saa 12. No negotiation ukifika muda wa kulala, lala, wa kuamka, amka. Wengi hua tunafeli mida hiyo mtu unaona aah mbona usingizi hauji ngoja nishtue kidogo au dah nimeamka saa 12 halafu nahitajika ninyanyuke saa mbili ngoja niamshe kidogo.

Kwa uelewa wangu hili la kupanga ratiba ni jambo litakalokuokoa kuliko mazoezi na chakula combined.

Kutohisi raha ya **** ni udhalilishaji, kila utakapotaka kupiga puchu wazia udhalilishaji ulioifanyia **** yako na unavyojidhulumu nafsi. Kila ukijisikia kupiga puchu ingia online angalia confessions za watu wakilaumu puchu ilichowafanya. Kisha niangalie kiongozi wako nilivyovua gamba nikasepa.

Kama unaishi peke yako hebu anza kuishi na mtu (hata mimi niite tuishi wote [emoji83] [emoji83] ) kukaa/ kulala peke yako kunakuaga na tabia mbaya sana. Utakaa kidogo mara unashangaa mkono umeanza kukanda ngano Slowly (Do you Believe in Love? How crazy it could be? Baby baby its..)Sorry wimbo wa Slowly wa Meddy ulinichota. The point is usikae peke yako. Cheki hata muvi, huna? Nitakuelekeza jinsi ya kudownload.

Usiwe idle. Hapa simaanishi ujioverwork ila tafuta kakitu ka kukufikisha saa nne muda wa kulala. Soma articles online (Utawaumbua mbuzi wengi wanaoweka vitu jukwaa la Intelligence) jifunze kupiga gita, jifunze kutengeneza beat kupitia FL Studio, jifunze lugha nyingine kwa kutumia Duo Lingo. Anything just don't stay idle.

Kwahiyo mmemind naongea sana?
Hii ndo tiba asee kijana hii comment itoe foto ubandike geto itakusaidia kila unapohisi kupiga nyeto
 
Unaamua kuacha nyeto uutafute ugonjwa usiokua na dawa, nikutakie kila la kheri
 
Back
Top Bottom