Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Endelea kunyetuka tu mkuu, tena this time tumia sabuni ya unga kabisa na wala hautojuta....tehteehh
hahahhaha tena FOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kunyetuka tu mkuu, tena this time tumia sabuni ya unga kabisa na wala hautojuta....tehteehh
Endelea kunyetuka tu mkuu, tena this time tumia sabuni ya unga kabisa na wala hautojuta....tehteehh
Hahahahaaa hamnaa, hamna shida kwenye uume, labda km unaivuta km unataka kuinyofoaMkuu Acha kabisa ukioa utatia aibu sana Puchu inaharibu nguvu za mishipa ya uume, ukifanya kwa muda mrefu utajuta kwenye maisha yako!
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaa muuaji wewe.
Heshima yako madame...[emoji144] [emoji144]hahahhaha tena FOMA
Naunga mkono hoja....Unaachaje Punyeto Mkuu! Hebu piga kimoja kwanza wakati unasoma Comment.
hahahahahahahaUnaachaje Punyeto Mkuu! Hebu piga kimoja kwanza wakati unasoma Comment.
Salama sana hujambo kijana wa UshiromboHeshima yako madame...[emoji144] [emoji144]
DaaahNaunga mkono hoja....
Sijambo sana, ingawa roho inaniuma sana skuizi kila nikizoza nakataliwa. Eti mnataka hadi nibadilishe liavatar langu lenye sura nzito.....[emoji29] [emoji29]Salama sana hujambo kijana wa Ushirombo
usibadilishe wenye hiyo sura anapendwa maana anajua kuhonga [emoji23] [emoji23]Sijambo sana, ingawa roho inaniuma sana skuizi kila nikizoza nakataliwa. Eti mnataka hadi nibadilishe liavatar langu lenye sura nzito.....[emoji29] [emoji29]
Hee jamani[emoji27]PIGA PUNYETO YA DONDOLA,,AU NYUKI...hyo ndy suluhisho mkuu,,,CHUKUWA kifuko EMPTY cha ICE CREAM kwa UKUBWA wa DUSHE lako,,,CHUKUWA DONDOLA,,AU NYUKI WAWILI,,,wafungie kwenye KIFUKO,,,ingiza DUSHE humo ndani,,,funga pamoja,,,sasa vuta hisia ya DEMU UMTAKAYE KUMPIGIA NYETO,,,,kama ni ZARI,,au SANCHOKA,AU HATA JAMES DELICIUS,,,MKUU,,,huwezi amini ndani ya nusu dk UTAPIGA GOLI ,,dabble dabble HUJAWAHI mkuu,,na ukitoka hapo KICHWA cha DUSHE kinakuwa kama RUNGU..lakini ndy DAWA mkuu,,ile unasubiri KICHWA kipowe,,tayari MWEZI MMOJA ushapita,,UNAKUWA USHAPONA MKUU,,,nipe marejesho,,,BAADA YA MWEZI,,,,,KAMA LITAJIRUDIA TENA nakupa DOZE ingine...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,mwanachamaUnaachaje Punyeto Mkuu! Hebu piga kimoja kwanza wakati unasoma Comment.
Upo vizuri mkuuPIGA PUNYETO YA DONDOLA,,AU NYUKI...hyo ndy suluhisho mkuu,,,CHUKUWA kifuko EMPTY cha ICE CREAM kwa UKUBWA wa DUSHE lako,,,CHUKUWA DONDOLA,,AU NYUKI WAWILI,,,wafungie kwenye KIFUKO,,,ingiza DUSHE humo ndani,,,funga pamoja,,,sasa vuta hisia ya DEMU UMTAKAYE KUMPIGIA NYETO,,,,kama ni ZARI,,au SANCHOKA,AU HATA JAMES DELICIUS,,,MKUU,,,huwezi amini ndani ya nusu dk UTAPIGA GOLI ,,dabble dabble HUJAWAHI mkuu,,na ukitoka hapo KICHWA cha DUSHE kinakuwa kama RUNGU..lakini ndy DAWA mkuu,,ile unasubiri KICHWA kipowe,,tayari MWEZI MMOJA ushapita,,UNAKUWA USHAPONA MKUU,,,nipe marejesho,,,BAADA YA MWEZI,,,,,KAMA LITAJIRUDIA TENA nakupa DOZE ingine...
Mkuu sio peke yako hilo ni tatizo... naweza kutoka sasa hivi mzigon na msichana akiondoka naingia mzigoni yani tabu tupu kuacha nayo imekuwa ngumuNilianza kupiga punyeto mwaka 2007 nikiwa kidato na nimepiga kiasi Cha kutotaka uhusiano na msichana yeyote na Imefikia Hatua sioni Haja ya kua na msichana yeyote nilitafuta ushauri mwaka huu kutoka wadau mbali mbali wakanambia niwe na Msichana nikifanya ivyo but sisikii Raha kabisa nikiwa kitandani na msichana na Nina wiki moja tu tangu nianze mchakato huu nisaidueni tafadhali njia za kurudia kuwa kawaida kama zamani Ni tatizo na nasumbuka nalo Sana
Natamani kuwa kama wanaume wengine tafadhali nisaidueni
Hii ndo tiba asee kijana hii comment itoe foto ubandike geto itakusaidia kila unapohisi kupiga nyetoMwakilishi Mstaafu wa Kanda ya Pwani wa CHAPUTA naongea kaeni kimya ndugu zangu.
Kwanza kabisa nakupa baraka zote za kuhama hiki chama karibu Chama Cha Kupindua tumuunge mkono Rais.
Kuna usemi wa kisukuma unasema "Making love is like crossing a bridge you either need a good partner or good hands" Walisahau kumalizia kua soon hata mikono yako itakua inatetemeka kiasi hautaweza kujishikilia hapo darajani.
Najua kua puchu ina uraibu, siyo kosa lako umenaswa kwenye mtego wa 'Utamu Kiganjani Mwako' it is so sweet hakyanani ila soon utakuja kugundua this is bullshit I gotta stop this.
Ushauri wangu mimi na namna ya kuacha ni siyo kula vizuri au kufanya mazoezi, ukila vizuri sana sana utajaza protini itakayotaka kutoka.
Anza kwa kupanga ratiba zako. Mfano Kulala iwe saa nne, kuamka saa 12. No negotiation ukifika muda wa kulala, lala, wa kuamka, amka. Wengi hua tunafeli mida hiyo mtu unaona aah mbona usingizi hauji ngoja nishtue kidogo au dah nimeamka saa 12 halafu nahitajika ninyanyuke saa mbili ngoja niamshe kidogo.
Kwa uelewa wangu hili la kupanga ratiba ni jambo litakalokuokoa kuliko mazoezi na chakula combined.
Kutohisi raha ya **** ni udhalilishaji, kila utakapotaka kupiga puchu wazia udhalilishaji ulioifanyia **** yako na unavyojidhulumu nafsi. Kila ukijisikia kupiga puchu ingia online angalia confessions za watu wakilaumu puchu ilichowafanya. Kisha niangalie kiongozi wako nilivyovua gamba nikasepa.
Kama unaishi peke yako hebu anza kuishi na mtu (hata mimi niite tuishi wote [emoji83] [emoji83] ) kukaa/ kulala peke yako kunakuaga na tabia mbaya sana. Utakaa kidogo mara unashangaa mkono umeanza kukanda ngano Slowly (Do you Believe in Love? How crazy it could be? Baby baby its..)Sorry wimbo wa Slowly wa Meddy ulinichota. The point is usikae peke yako. Cheki hata muvi, huna? Nitakuelekeza jinsi ya kudownload.
Usiwe idle. Hapa simaanishi ujioverwork ila tafuta kakitu ka kukufikisha saa nne muda wa kulala. Soma articles online (Utawaumbua mbuzi wengi wanaoweka vitu jukwaa la Intelligence) jifunze kupiga gita, jifunze kutengeneza beat kupitia FL Studio, jifunze lugha nyingine kwa kutumia Duo Lingo. Anything just don't stay idle.
Kwahiyo mmemind naongea sana?