Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Konki konki konki master inabidi aje na huku ....naamini robo tatu ya sisi vijana wataumbuka...

Pia nashauri kutokana na madhara yanayopatika juu ya upigaji wa punyeto Mh.makonda aanzishe operesheni punyeto

Hatutaki vijana magoigoi ndani ya mkoa wetu ukishindwa kushawishi ili upewe papuchi, basi Fanya hima kanunue zinakouzwa

Ila punyeto kwa vijana wa Dar iwe mwiko
 
Wakuu mi nlianza Nyeto 2005 hadi Leo napiga ila nataka kuacha ,hapa nna kama siku 3 sijapiga nafikiri huu ni mwanzo nzuri wa kuacha
 
Kwaio dawa ya kuacha nyeto watu tuumwe mapumbuh
 
we nenda tu sisi tunasajili wanachama wapya kila siku. Sasa hivi tunasajili vijana kuanzia waliozaliwa mwaka 2000
 
kama unapiga nyeto kwa ajili ya raha basi inakua ngumu kuacha ila inatakiwa iwe kam mazoezi no pees na dawa pekee ya kuacha nyeto ni kujiepusha nasababu bila kujifikiria mara mbili
 
Wewe utakua na matatizo mengine, mi nimeanza kupiga PUNYETO 2002 mpaka leo sijaona tatizo lolote,

Itabidi ulipe fidia maana wewe ni MSALITI
 
Nyinyi vijana mnamatatizo sana
Wanawake mbona wako wengi sana
 
ile kitu inasaidia sana mzee baba, ni booster ile afu ni self service raha iliyoje
 
Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
 
Paka pilipili kwenye mkono af piga mzigo na uhakika matokeo yake utaacha tuuu we pakaga kila siku ukiwa na mzuka[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…