Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii side effect ni ya ukweli kabisaaKusahau sahau na macho kutoona vizuri
Hahahaha hatari sana, unashangaa cramming capacity imeshuka kwa speed ya 4Ghii side effect ni ya ukweli kabisaa
Kwaio dawa ya kuacha nyeto watu tuumwe mapumbuhWakuu nina miaka 29, ni baba wa familia ya watoto wawili. Nilianza kupiga punyeto mwaka 2008 baada tu ya kubalehe. Nimejitahidi sana kuacha tabia kwa kufanya mazoezi ya nguvu, hata kuingia kwenye maomba ya kufunga na kutubu lakini nilishindwa Nashukuru nimeacha rasmi mwezi wa kumi 2018 baada ya kuugua kwa kuumwa na (pumbu) korodani.Maumivu ya korodani ni makali sana, bora mtu akupige ngumi ya uso maumivu yake yanapoa mapema kuliko ya korodani, kwa aliyewahi pata hili tatizo hawezi kuumiza kichwa kujua namaanisha nini, Watu wengi walinishauri niende hospitali nipate tiba waliyodai itaabatana na upasuaji, niliogopa sana na kujutia kupiga punyeto miaka kedekede wakati nina mke wangu mzuri, lakini ndo hivo tabia ni kama ngozi huwezi kuibadilisha, Mkewangu alipotoka kidogo siku tatu tu lazima ningeingia bafuni nakupata burudani murua bila kuombwa pesa au vocha na wadada wa mtaani, lakini pia magonjwa kama UKIMWI niliamini yasingenisogelea katu,Baada ya kuumwa korodani kwa muda namshukuru mungu nilielekezwa kwa mzee mwenye tiba aliyenisihi kuwa tatizo langu limechangiwa kiasi kikubwa na kupiga punyeto. Baada ya tiba yake sasa nimepona rasmi. VIJANA ACHA PUNYETO KWA AFYA YETU NI HATARI.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mi nlianza Nyeto 2005 hadi Leo napiga ila nataka kuacha ,hapa nna kama siku 3 sijapiga nafikiri huu ni mwanzo nzuri wa kuacha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona na CHAPUTA wameamua kuhama chama
Kuokoka na Punyetto vinahusiana nini?Wewe si juzi ulisema umeokoka hadi nakuuliza umeokoka au umeokotwa?