Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

unaishi mkoani au? wanaume wa dar hatuna shida na kulalamikia hizo mambo.. mademu kibao wa bei kuanzia buku 2 sasa unaanzaje kujichua???
 
Mimi huwa naviziaga wafanyakazi wandani huwa hawana garama kabisa hawa nikujitafunia tuu huna haja ya nyeto
 
Basi njoo unishikie nipige punyeto naona unanifahamu kuliko mke wangu.
Unawezaje kumwambia mwanaume mwenzio aje akushikie dushe lako? Yeye kashauri kiroho safi lakini jibu lako ni kama ulikuwa unamtegea hivi aingie kingi umshushie hiyo nyundo. Sio poa mzee baba
 
Niwie radhi kwa niaba yake.
Unawezaje kumwambia mwanaume mwenzio aje akushikie dushe lako? Yeye kashauri kiroho safi lakini jibu lako ni kama ulikuwa unamtegea hivi aingie kingi umshushie hiyo nyundo. Sio poa mzee baba
 
Acha kuangalia picha/Video za ngono ndiyo Chanzo kikuu mimi nilitafuta chanzo cha mimi kushindwa kuacha mchezo huo nikagundua kuwa Nisipoangalia hizo video na kuwa kawaida tu! Ila nikiingia kwenye Hizo video ndiyo napata vichocheo vya kupiga Nyeto Nikajiwekea masharti ya kutoziangalia hizo Picha!/Video na baada ya kufanya hivyo mpaka sasa nipo huru sana ila ni baada kuteseka kwa muda mrefu najua Styles zote za Nyeto.
Aisee unaweza elezea moja wapo,huwenda ikawa mkombozi kwa chama la wana
 
uache ili ugundue nini sasa...?
Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
 
Nimeacha siku 3 na kuanza mazoezi push-ups 50 asb, 50 jion na kukimbia saa 1 mfululizo Leo nimesimamia show Mashallah;
1. Bao 4 za nguvu.
2. UBOH unadindah mwanzo-mwenga,
3.pumzi za kutosha bila kuhema-hema;
** Heshima inaanza kurudi bila mitishamba.
 
kama unalala peke yako kwanzia leo ulale na mwenzio ila awe wakiume kama wewe au ishi tu na mke

ukiwa unaoga usiguseguse sehemu zako za siri

hisi unachofanya ni dhambi alafu aibu kubwa uwezifanya hivyo wakati wanawake wapo

acha kuangalia picha za ngono

ikumbuke kuacha ni uamuzi wako mkuu bila kuamua uwezi acha hata kama tukakushauri vipi hapa
 
Uza smartphone,
Kama unadeck UZA
CD za ngono tupa
Companies za type hiyo kimbia
Don't stay alone kwa muda mrefu
Mafuta ya kujipaka tupa mbali mno
Sabuni usiogee, oga maji plain

Also jiweke mwonekano bora zaidi na ulionao
.
All the best kijana.
Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
 
Alihamdulillah uboh unazid kuimarika siku hadi siku
 
Back
Top Bottom