MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Habari wanaJf?
Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa haiwezi kupita bila kufanya.
Baadae ikawa anafanya hadi mara tatu kwa siku kitendo ambacho anasema kilikuwa kikimtesa sana kwani ilikuwa kwake ni lazima afanye ili akili yake ikae sawa lasivyo siku hiyo hatokuwa vizuri (huwa kama anaumwa).
Kwa sasa tayari ana mke na mtoto lakini ameshindwa kuacha licha ya kufundishwa njia mbalimbali kama kutazama mpira, wrestling, kutumia vidonge vya kupunguza ge.nye, kupaka pili pili kiganjani, kujichanganya na watu n.k.
Anaomba ushauri wenu ili aweze kuachana na hali hiyo.
---
---
---
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU:
---
---
---
---
---
===
PIA SOMA:
Kwanza nimeamua kutumia ID mpya kwa ajili ya kusema hili suala. Asante leo nimeamua niseme ukweli wangu huenda ikasaidia wengine. Kwanza nikiri wazi nilikuwa muathirika mkubwa wa kujichua kwa miaka 17, hadi ikafika kipindi nikawa natamani cheo cha mwenyekiti wa CHAPUTA. Nilianza huu mchezo...
www.jamiiforums.com