Mkuu leo natimiza week tangia niache japo bado sijajua kama nimeacha ama nipo halftime [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajf? Nisaidieni mdogo wenu nyeto inanimaliza mdogo mdogo nikijiona. Siku ya leo naaibika sana yani sanaa kwakweli naaibika kama mwanaume.
Leo hii kuna binti kanitunuku papuchi dushe imekataa kabisa kuamka. Yani hapa imebidi nitoke kwanza nje nijitafakari kwanza, najuta kumtongoza huyu binti mimi.
Wazee nisaidieni mwenzenu maana nasubiriwa huko ndani.
Hii hali haijawahi nitokea kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee....kawa kenge tena duh.!!Rudi ndani act umepokea taarifa mbovu sana mkurupue haraka sepa kenge wewe
Tulizaa akili kwanzaaa
Rudi ndani act umepokea taarifa mbovu sana mkurupue haraka sepa kenge wewe
Usipindishe sema inakumaliza kwa nn unataka kuficha tatizo?
sent from HUAWEI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo yuko ndani anasubiri dushe.
Pole sana mdogo wangu, huwezi kuishinda nyeto kama huna kiburi, nakumbuka mimi nilikuwa napiga nyeto hadi na magadi, mafuta ya kasuku, maji ya moto yaani nilikuwa mbali sana kwenye ulimwengu huo.
Ila siku moja nilisema Inafu izi inafu hadi leo ni miaka 23.
Kwani punyeto inakupiga wewe au wewe ndiye unaipiga?