Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?


Mpaka sasa iv hujajitundika tu. Nenda mbinguni kale mema ya matunda yako achana na dunia. Mimi ntakuwepo kuhakikisha ya kua unajitundika haraka iwezekanavyo. Asikudanganye mtu wewe ndo kwishney, habari ya mjini kwisha kabisa huna ulichobakisha duniani so ingefaa utupishe haraka iwezekanavyo.
 
Tuulize makonkodi wa huo mchezo huwa hauachwi mdogo wangu
 
Tatzo wengne nyeto mnafanya kama dozi kngne matizi hata ya kukimbia hakuna
Msosi wenyew mnakula kama wale wapanga diet....
Lazma nyeto ikufanye vbayaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahha we jamaa umenichekesha sana ubongo wako unatakiwa ufanyiwe fumigation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyeto ni nzuri kama

Utaipiga kwa akili

Kula mlo kamili

Have a specific day and time njia nzuri kwa week piga mara 1 tu na upigaji huo uwe less than 7min sio unanyonga zaid ya nususaa chagua siku yako ambayo utatoa hasira za week yote ukiona huna uhitaj usijilazimishe so unaeza pitisha week mbil bila kupiga

Usiifanye nyeto kuwa basic needs hakikish huwi addicted

EPUKA
Kuangalia porn

Kufollow page za malaya inster, facebook, telegrm, na hata whtsap coz picha utakazo ziona zitakupelekea ujichue

Usikae mpweke kwan ukiwa mwenyew mawaz kama hayo hushambulia sana ubongo

Jarib kukwepa mazingir unayo his yatakufany ufany nyeto


JIONE WA THAMAN
Upe thaman mwil wako unao utunza kwa nguvu nying basi usiutese


Weng wanasema nyeto haina madhara kaasababu huwa inaathir 3 kati ya 10 yaan 3:10 ndo maana utaona wanaosema haina madhara ni weng zaid . So madhara yatategemea na upigaj wako. Na madhara wanayo yapata wengi kama asilimia 70% huwa ni permanety au chronic problems na hizo 30% huwa ni zamuda mfupi ambazo nazo huwa zinapotea na kurud yaan utakuta mtu anatibia tatizo anakuwa sawa then baada ya muda mfupi linarudi tena. Unawez kuta mtu anasema amepiga nyeto miaka 25 ila hajapata madhara so inaweza kuwa upigaj wake ni mzuri au anaweza kuwa kati ya wale 7 walio salia katika wale 10 nilieleza awali.Ndo maana unaweza kuta mtu anakuambia amepiga kwa miez 5 ila kashapata madhara ni kwamba ameifany kupitiliza yaan hajaifanya kwaa akil au yupo ndan ya wale 3 katika wale 10 nilieleza awal.

Kama ww ni mpigaj basi jifunze kuboresha upigaj wako ili usikuathiri kosaikolojia na kifisiolojia

Jifunze kupunguza idadi ya kupiga nyeto kwa siku kama ulikuwa unapiga mara 3 basi anza kupunguza mfano ulikuwa unapiga asubuh, mchana na jion basi anza kupiga asubuh na jion kisha asubuh pekee au jion pekee . Pia idadi ya magol kama ulikuwa unapiga bao 3 anza kuzipunguza moja linatosha.

Tafuta mpenz kuwa nae karibu utajikuta hata week inapita hujafany icho kitu

Sali sana kiukwel sala zinasaidia kila mtu kwa iman yake fanya sala na Mungu atakuwelea mkono wake

Anza kutumia asali, tangawiz na swaumu hata mara moja kwa siku ili kujiimarisha

Ninayo meng sana ya kukushirikisha kuhusu nyeto ila ngoj niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Good
 
Inaonekana wee mzoefu aisee umeongeaa kwa hisi sana, wewe unatumia njia gan salama mkuu za kunyetuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaa nilishapiga miak ya nyuma na nilianza kujitibu mwenyew kwa kupunguza kidogo dogo na mwisho niliweza kuacha na kusahau

Kila mtu ana trigger yake mm yangu ilikuwa ni porn so niliwez control kuangalia na mwisho wa siku nikawa free from nyeto
Inaonekana wee mzoefu aisee umeongeaa kwa hisi sana, wewe unatumia njia gan salama mkuu za kunyetuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…