Nyeto ni nzuri kama
Utaipiga kwa akili
Kula mlo kamili
Have a specific day and time njia nzuri kwa week piga mara 1 tu na upigaji huo uwe less than 7min sio unanyonga zaid ya nususaa chagua siku yako ambayo utatoa hasira za week yote ukiona huna uhitaj usijilazimishe so unaeza pitisha week mbil bila kupiga
Usiifanye nyeto kuwa basic needs hakikish huwi addicted
EPUKA
Kuangalia porn
Kufollow page za malaya inster, facebook, telegrm, na hata whtsap coz picha utakazo ziona zitakupelekea ujichue
Usikae mpweke kwan ukiwa mwenyew mawaz kama hayo hushambulia sana ubongo
Jarib kukwepa mazingir unayo his yatakufany ufany nyeto
JIONE WA THAMAN
Upe thaman mwil wako unao utunza kwa nguvu nying basi usiutese
Weng wanasema nyeto haina madhara kaasababu huwa inaathir 3 kati ya 10 yaan 3:10 ndo maana utaona wanaosema haina madhara ni weng zaid . So madhara yatategemea na upigaj wako. Na madhara wanayo yapata wengi kama asilimia 70% huwa ni permanety au chronic problems na hizo 30% huwa ni zamuda mfupi ambazo nazo huwa zinapotea na kurud yaan utakuta mtu anatibia tatizo anakuwa sawa then baada ya muda mfupi linarudi tena. Unawez kuta mtu anasema amepiga nyeto miaka 25 ila hajapata madhara so inaweza kuwa upigaj wake ni mzuri au anaweza kuwa kati ya wale 7 walio salia katika wale 10 nilieleza awali.Ndo maana unaweza kuta mtu anakuambia amepiga kwa miez 5 ila kashapata madhara no kwamba ameifany kupitiliza yaan hajaifanya kwaa akil au yupo ndan ya wale 3 katika wale 10 nilieleza awal.
Kama ww ni mpigaj basi jifunze kuboresha upigaj wako ili usikuathiri kosaikolojia na kifisiolojia
Jifunze kupunguza idadi ya kupiga nyeto kwa siku kama ulikuwa unapiga mara 3 basi anza kupunguza mfano ulikuwa unapiga asubuh, mchana na jion basi anza kupiga asubuh na jion kisha asubuh pekee au jion pekee . Pia idadi ya magol kama ulikuwa unapiga bao 3 anza kuzipunguza moja linatosha.
Tafuta mpenz kuwa nae karibu utajikuta hata week inapita hujafany icho kitu
Sali sana kiukwel sala zinasaidia kila mtu kwa iman yake fanya sala na Mungu atakuwelea mkono wake
Anza kutumia asali, tangawiz na swaumu hata mara moja kwa siku ili kujiimarisha
Ninayo meng sana ya kukushirikisha kuhusu nyeto ila ngoj niishie hapa
Sent using
Jamii Forums mobile app