Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.
Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.
Msaada wandugu
Ukifanikisha hivi vitu viwili vikubwa, nakuahidi utasahau kama kuna kupiga punyeto dunia hii!!
Sijui unifuate PM [emoji848] Au basi, ngoja nieleze hapa hapa!!
•Epuka kukaa ndani peke yako
fanya yafuatayo kufanikisha:
✓jichanganye na wenzako wakati ambapo unakuwa huna kazi ya kufanya
✓jihusishe kwenye michezo hasa hasa ya kuruka kamba kabla ya kwenda kuoga, alfajili pindi tu unapofumbua macho yako na jioni kabla ya kwenda kulala! Nunua kamba yako ikiwezekana!
✓kamwe usitumie simu yako inapotokea dharura ya kuwa ndani! Ukiwasha data toka nje, kakae mlangoni
✓tafuta kazi! Acha kukaa kaa nyumbani kusubiri ajila!!
•Epuka upweke na msongo wa mawazo
✓tafuta mchumba ambae muda wote atakuwa ana pay attention kila utakapomuhitaji (sina maana kufanya nae mapenzi) la hasha! Kwa ajili ya kukupigisha story za hapa na pale ( tafiti zinaonesha kuwa sauti ya mwanamke ni tiba kwa 30%)
✓jaribu kutumia virutubisho, tafuta tafuta huko, kikubwa kiwe na mmea wa maca ndani yake, kitakusaidia kuziharibu na kuziingiza kwenye mfumo wa damu sperm zinazokuwa zinazidi kwenye korodani na kukuletea washa washa!!
✓mthaminishe mwanamke na kamwe husimwogope! Omba nawe utapewa! Hawajawahi kuwa wachoyo kiasi hicho, labda kama unaishi kanda ya ziwa!!