Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Ni jambo ambalo nashindwa kufikiria nitachomokaje maana naona kila kona nimeshikwa hata upenyo wa kupumua kwa walau wiki mbili nakosa

Nitalazimisha wee makofi mazito yanakuja akilini bila maumivu ila ni ushawishi mzito ammbao nahisi ni mashetani wale ambapo walijaribu Yesu au Eva kula tunda

Sometime baada ya hilo jambo najihukumu sana sana na kuapia kwa Sir God sirudii ya pite masaaa sasa wakati na chek Music nikaona kapaja naanza kusikia akili inanambia wewe fanya tena hilo jambo kwa mara ya mwisho

Nashindwa kujisimamia japo na jua jambo lina madhara mengi sana ila sasa kuacha nahisi sijapangiwa naamua kwa dhati ila ushawishi wa jambo hilo plus redwap yananicost sana

Help Somebody need help over here la sivyo nitakufa maaan now is tooooooo much sasa hiki chama chenu sikiiitaji tena nipeni mbinu za kushinda na hii tabia wenzangu

Nimeichoka Chaputa

#Mfichamaradhikifohumuumbua

Naishi Milele
Weye piga nyeto acha kutoroka nyeto tamu halafu haina gharama
 
Tumia simu ndogo mkuu achana na simu kubwa kwa mda wa mwaka mmoja itakusaidia mimi nilikuwa addicted na kubet yaani nilikuwa nikiweka hela kwenye tigo pesa yote naibetia,

nikaamua kukaa mwaka mmoja bila kutumia smart phone japo matukio nilikuwa nayoana kwa marafiki zangu naomba simu naingia WhatsApp Instagram fb kwa account zao mpaka leo hii kubet naona imekuwa historia kwangu.
 
Pole sana mkuu,binafs mm nlikua kama wewe,nikipiga leo nasema ndio ya mwisho[emoji23]sasa nlkuja kukaa nikaangalia chanzo,nikagundua chanzo n uraibu wa porno movies,kule twitter kuna jamaa walkua wanaitwa utopolo au shetani alkua anapost sana izo mambo,cha kwanza nikamblock,alaf nikishtuka usingizini lbda saa 11 alfajir sikai kitandani naamka natafuta issue ya kufanya hadi muda aa kazini ufike hizo ndio mambo nlizozingatia hadi nikaacha kushangweka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ahsante sana ngoja nifanye hivo
 
Kuwa bize kutafuta pesa.
Usipende sana kulala, kuangalia xvideo.

Nyeto inaleta UTI, Maumivu ya mgongo, joint kuishiwa nguvu..


Mazoea mabaya..
 
Hahahaha pole sana mdogo wangu

Cha kufanya hapo wewe kuwa mpole tu huwezi kukimbia chama kizembe na kiuwepesi kiasi hiko

Tafuta mademu kadhaa uwe unajipigia daily utakuja kunishukuru
 
Nyeto huwa haiachwi mzee wng mm mwenyewe sometimes huwa nashitua shitua hata kama nimetoka kupga demu 15 min ago ili mradi anipe shoo nzuri ili kumuenzi naona ni bora nimsindikiziea na nyeto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] daaah ww kweli bahalia
 
Daaaah mimi toka matukio ya Panya road kuingia kitaani. Nakumbuka siku hiyo nilijificha kwa jirani mida ya 3 ile nje watu hamna kila mtu kajifungia kwake kuogopa Panya road nakumbuka nilikua natetemeka(am young 19)nikiwaza leo wakiingia hapa nakufa alaf nitasemaje kwa Mungu? (wakat huo nina ma X video kama yote kwenye cm),nikaapia kutubu kabisa "ewe Allah nisamehe mm sitarudia tena kuangalia video za X,Nisamehe Mungu wangu"Nashukuru baada ya tukio lile ilikua kama 2 May sijapiga wala kuangalia na hata kutarajia sitarijii Mungu ananisamamia.
Nb:wanasemaga huwez kuacha Ila unapumzika kwa muda😂nami nipo makini nisirudi.
 
Back
Top Bottom