Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Njia pekee ya kuacha nyeto ni kujitahidi kupiga angalau mara 70 kwa siku... nguvu za kiume zikiisha utaacha kabisa kupiga
 
Mimi ni kijana wa miaka 25. Nilianza mchezo wa kujichua tangu nikiwa na miaka 14, tangu kipindi hicho nimekuwa pia mdau mkubwa wa kutizama picha za ngono.

Kitendo hicho kilichodumu kwa zaifi ya miaka kumi kimenipelekea kuwa na madhara makubwa katika mwili wangu hususan katika viungo vya uzazi.

Hii ni pamoja uume kurudi ndani na kusinyaa muda mwingi hasa nikiwa nimesimama, uume kulegea mno na kukosa nguvu kabisa, kukosa hisia za kufanya tendo hata nikiwa na mwanamke ndani, nikijitahidi nafanikiwa kusimamisha kwa shida sana na nikifanya bao moja nashindwa kurudia kabisa, lakini pia mbegu zinatoka kidogo sana.

Mfuko wa korodani umeshuka na kurendemka sana. Nimeacha mchezo huo kwa tajtibani miezi mitano sasa lakini bado madhara yake yananisumbua nakosa amani sina mtoto ndugu zangu najua wapo waliopitia hii changamoto naombeni msaada jamani pliz
 
Bora umeacha mkuu💯 kilicho baki ni kufanya mazoezi tu mkuu mambo yatarud yenyewe. Asante kwa kurudi kundi la tunaojiandaa kwenda peponi😇😇
 
Historia yako imefanana na yangu kwa asilimia mia moja , ila tofauti yako na yangu ni kuwa nina hamu kupita kiasi na uume haujaingia ndani kwa maana size niliyopima mwanzo ndo hiyo hiyo(21cm nilitumia ruler ya cm 30) tofauti ni upana umeongezeka kidogo nimeliona hilo.

Ila sijawahi pata shida wala hitilafu zozote kwenye kufanya sex , huwa nipo kawaida tu siku zote tofauti ni kuongezeka kwa hamu ya ngono ndo kitu kinachonitatiza maana per week naweza sex hata mara 10 yani nikipewa asubuhi lazima na jioni nipige kama nikipumzika ni siku moja mpaka mtoto wa watu anachoka na ninachoona nitaazanza kuwekewa ratiba sasa.

Kingine kama nikipumzika hiyo siku moja mara nyingi huwa j5 yaani mambo hayaendi uume unakaza kila muda , nakosa hata utimamu nikiwa eneo la kazi.

Naona ndo madhara labda ya kujichua kwa muda mrefu sijui au ni kama daktari alivyonambia kiwango changu cha homoni dume kipo juu sanaa (hyper nini sijui nimesahau).
 
Unajua wakti wa kubalehe wanaume tunapitia kipindi cha uoga wa kutongoza ni nature, na story za mtaani wengi wetu tulishawahi fanya punyeto ila wengine walijinasua mapema na wengine wakashindwa kutoka mapema,..wanaume almost more than 95% washawahi shiriki nyeto, mimi kikubwa ni kuamua, uwezi acha kitu ikiwa haujaamua..

Nimeacha miaka zaidi ya 7 nyuma, ila nilikua na smartphone naweza watch online porn, but nikaamua naacha tazama porn maana ndio kishawishi kikubwa, na kingne nikapitia maisha ya kish3nz ya kutembea na wanawake wengi...nikafika stage naona kawaida hata nikiangalia porn now, hainishtui hata kidg...ila kikubwa uamuzi uanzie ndani, na sio wa msukumo wa nje.
 
Ukiwa mpiga nyeto, unashindwa wazoea wanawake kabisa hata ukipata demu unaanza pre ejuculation mnaelekea room, jitahd uzoee kwanza wanawake..bado unawaogopa na ndio unajifichia kwenye chaputa
 
Tatizo lako sio NYETO, tatizo lako ni LISHE DUNI na STRESS zak tu.

Chama chetu hakihusiki na yaliyokupata, wewe kula lishe bora, acha stress kujikagua kagua kirodani sijui zimeshuka, kwani zinaumaa au zimevimbas!!? Asa wasi wasi wa nini?

Kaa tulia kula Mlo kamili. Matunda 40%, protin 20% na wanga 40% mazoezi kiasi alafu endelea na Nyeto.

Ila unajua nini acha kupiga nyeto kwa kutumia video za X, tafuta picha ya demu hapo mtaani kweny, kuwa real basi kidogo mkuu.

Mwisho chama kimesikitishwa na hizi tuhuma dhidi ya operesheni zake kutoka kwa Seniour memba kama wewe mkuu.
 
Ukiwa mpiga nyeto, unashindwa wazoea wanawake kabisa hata ukipata demu unaanza pre ejuculation mnaelekea room, jitahd uzoee kwanza wanawake..bado unawaogopa na ndio unajifichia kwenye chaputa

Hii si kweli mkuu, hilo ni tatizo binafsi nyeto haihusiki hapo.
 
Suala la korodani kulegea ni sababu ya gravity kama maziwa ya mwanamke kulala tu siyo tatizo hilo as it goes with age,

uume kuingia ndani nadhani ni mazoea ya kusoma vipeperushi vya wataalamu wa kutibu nguvu za kiume ndo point zao,

maybe psychological effect ndo unaweza kuwa sahihi kidogo

Lakini madhara ya punyeto mimi kwa experience yangu sidhani kama yapo kiivyo maana binafsi naaproach 40 and I've been doing it for years and I gt three kids now

Labda tunatofautiana ila kama unakula vyakula sahihi na unapata muda wa kufanya mazoezi kuweka afya yako sawa asee punyeto won't be an excuse!
 
Ngoja niwatag Chaputa wabobezi waje kutoa ushuhuda ..
 
Mimi ni kijana wa miaka 25. Nilianza mchezo wa kujichua tangu nikiwa na miaka 14, tangu kipindi hicho nimekuwa pia mdau mkubwa wa kutizama picha za ngono.
Kitendo hicho kilichodumu kwa zaifi ya miaka kumi kimenipelekea kuwa na madhara makubwa katika mwili wangu hususan katika viungo vya uzazi.
hii ni pamoja uume kurudi ndani na kusinyaa muda mwingi hasa nikiwa nimesimama, uume kulegea mno na kukosa nguvu kabisa, kukosa hisia za kufanya tendo hata nikiwa na mwanamke ndani, nikijitahidi nafanikiwa kusimamisha kwa shida sana na nikifanya bao moja nashindwa kurudia kabisa, lakini pia mbegu zinatoka kidogo sana
Mfuko wa korodani umeshuka na kurendemka sana.
Nimeacha mchezo huo kwa tajtibani miezi mitano sasa lakini bado madhara yake yananisumbua nakosa amani sina mtoto ndugu zangu najua wapo waliopitia hii changamoto naombeni msaada jamani plizzzzzz
Mkuu,wewe una distress tu.Kula vizuri,pumzika,mazoezi kidogo and you will be normal.Nyeto hainaga shida hizo labda kama unatumia chuma.Take it easy.Self pleasure is still pleasure no crime no guilt
 
Kaka
Pole sana nakushauri mtafute demu ianaependa kutombtn sana awe snakupa kila unapohitaji,ila useme unaacha unakaa bila demu utakuja kurudia
nimeacha tatizo napata wanawake lakini nikifanya moja tyu siwezi tena uume ni mdogo na hauna nguvu
Pole sana nakushauri mtafute demu anaependa kutombtn sana awe snakupa kila unapohitaji,ila useme unaacha unakaa bila demu uta
 
Ukiwa mpiga nyeto, unashindwa wazoea wanawake kabisa hata ukipata demu unaanza pre ejuculation mnaelekea room, jitahd uzoee kwanza wanawake..bado unawaogopa na ndio unajifichia kwenye chaputa
Kaka ninao wengi sana na kila nikijaribu huwa naishia moja tu uume unasinyaa hadi sihisi kitu hasa nikiwa natembea nimeshaadhirika zaidi ya mara tatu
 
Back
Top Bottom