MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Malipo ya YouTube huwa yapo vipi? Na Huwa mnalipwa na nani?
Youtube itakuhesabia na kukulipa tu kutokana na jinsi watu wanaoangalia video zako wanavyo kutana na kuintaract na matangazo ya Google Adsense mfano, utahesabiwa pindi watazamaji wako watakavyo amua kubofya matangazo yanayoonekana katika video zako.
 
Je ikiwa umepakia(upload) video ya dakika 3 mpaka 4 na ikatazamwa na watu million 1 je YouTuber watalazimika kukulipa kiasi gani Cha pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kila watazamaji elfu moja unalipwa dola za kimarekani saba?
 
Mimi kwa ninavyo ona, Ungeanza kuelezea kwanza namna gani mwanzilishi wa youtube channell anavyoanza ,matatizo gani atakumbana nayo, jee youtube channel ikoje, inafanya kazi kazi vipi ,sheria zake zikoje..

Hi itasaidia hata ambae hakuanza aweze kuona hiyo fursa .
Pa ingepunguza maswali mengi amhayo yangekuwa yashajibiwa baada ya hayo maelezo na hapo mwenye ziada ndo aulize....

Mfano mimi sifaham chochote juu ya hilo na nataka nianzishe ila hata sijui A wala B jee nitauliza nini sasa?

Ungefanya hivyo kwa msaada zaidi
 
W

Wazo zuli mkuu
 
Back
Top Bottom