Unaonekana umenunua x-trail siku si nyingi hamna gari hapoNadhani watanzania wengi ni watu wa kusikia na kupitishwa mambo hata wasiyoyajua. Bro ni Xtrail ni gari moja nzuri Sana kuliko hata Harrier. Naongea nikiwa na uzoefu wa hizo gari..
Gari ngumu hii.Bora kujilipua RAV4 L
Hujiulizi tu kwa nn X-trail inauzwa Bei ndogo kushinda SUV nyingi? Una maana wajapan wamekuwa wamishionari?Unaonekana umenunua x-trail siku si nyingi hamna gari hapo
Unaonekana umenunua x-trail siku si nyingi hamna gari hapo
Hujiulizi tu kwa nn X-trail inauzwa Bei ndogo kushinda SUV nyingi? Una maana wajapan wamekuwa wamishionari?
Tulia ule spanaWe una gari gani mjomba?? Huchelewi kusema una Crown Athlete [emoji23]
Ndo swali la kujiuliza...1. wanatumia material hafifu (ikiwemo plastic Kujenga bodi ya X-trail)Kwanini inauzwa bei ndogo kuliko suv zingine zote ???
Ndo swali la kujiuliza...1. wanatumia material hafifu (ikiwemo plastic Kujenga bodi ya X-trail)
mkuu tatizo la watanzania kama hawana uwezo wa kuki maintain kitu, basi watakipakazia sifa mbaya...Nakataa hii hoja.! Mbona gharama zake kwa kuagiza sio chini kama inavyosemwa na hawa wanaJf
Umetumia maneno mabaya kwenye reply yako mimi nimeshamiliki Nissan zifuatazo
Nissan Serena engine zake zinaigiliana na Xtrail ugonjwa wake unafanana.
Nissan Bluebird sio mbaya....
mkuu tatizo la watanzania kama haeana uwezo wa kuki maintain kitu, basi watakipakazia sifa mbaya...
Hata kama ni mwanamke mzuri, wakishindwa kumgharamia wataanza kumsema vibaya mara ni malaya, katoa mimba na mengineyo mengi
Ukilinganisha na SUV nyingine za Aina Yake. Ni nafuuNakataa hii hoja.! Mbona gharama zake kwa kuagiza sio chini kama inavyosemwa na hawa wanaJf
Nadhani ni moja kati ya SUV ya bei rahisiNakataa hii hoja.! Mbona gharama zake kwa kuagiza sio chini kama inavyosemwa na hawa wanaJf
Ni nafuu Sana mpaka inafikirishaNadhani ni moja kati ya SUV ya bei rahisi
2003 model unaweza kuagiza kuanzia 12M
Bi mkubwa anayo Xtrail model ya 2003 kanunua 2015 ina namba DEL naona bado iko poaNi nafuu Sana mpaka inafikirisha
Kinamama uendeshaji wao wapo makini sana. Tofaut na wapenda K.Bi mkubwa anayo Xtrail model ya 2003 kanunua 2015 ina namba DEL naona bado iko poa