Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Toyota Hilux ni matatizo sana offroad hasa wakati wa matope, nilishawahi kutumia Hilux toka Bagamoyo kwenda Tanga kwa njia ya short cut wakati wa mvua...
Ile gari ilifika sehemu ikanasa na tulivyolazimisha zaidi ikaanza kupitisha matope hadi juu ya injini...
Ilibidi ije kubebwa tu kupelekwa garage na kubadili mfumo wa injini wote...


Umenikumbusha nilienda makete bulongwa kupitia njia kitulo aisee kuna sehemu Hilux zilinasa me nipo na xtrail nikapasua wadau walishanga sana xtrail tuna 4wheel Kali sanaaaaa
 
Inawezekana tu kwa sababu kukwama kuna factors nyingine ukiacha nguvu ya gari. Unaweza kuwa na gari yenye nguvu lakini uuna dereva mzuri, huna tairi nzuri, umepita sehemu mbaya zaidi
Sure
Driving skills
Hali ya gari
Etc ndio maana startlet glanza anamnyoosha kluger ingawa kwa hali ya kawaida inaonekana ngumu.
 
Binadamu tunafurahisha sana. Nimesoma post hii tangu comment ya kwanza mwaka 2015 hadi ya mwisho August 8 2022. Kuna watu waliokuwa wanaiponda Xtrail kwa miaka 3 mfululizo, kufika 2021 hadi 22, wakaanza kuisifia..........😆😆
Nikiwemo mm baada ya kuimiliki nikagundua ni uongo. Nimemiliki 2021-Juni 2024 nilipoiuza na kuhamia kwenye Mitsubishi mini pajero
 
Back
Top Bottom