bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Kama unataka engine Oil ya Nissan Extail ambayo haitasumbubua, tafuta Castrol GTX 20W-50. Bei yake ni around 50,000/- kwa litre 5(Unatembea 3000 km before the next service) Kwa Gear box angalia kwenye oil stick imeandikwa matic, ila unaweza kununua nyingine inaitwa Atlantic (ipo kwenye kidebe cha bati) bei yake ni kuanzia shs 75,000-80,000 kwa litre 4 (unatembea 9000 km before the next service).Naona umeongea kitheory zaidi. Ni vema unapotoa ushuhuda then uwe specific na open detailed.
Sasa unaposema oil za vibaba ndio kitu gani?!
Unaposema oil nzuri ndio zipi hizo?!