Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Nakataa hii hoja.! Mbona gharama zake kwa kuagiza sio chini kama inavyosemwa na hawa wanaJf
mkuu tatizo la watanzania kama hawana uwezo wa kuki maintain kitu, basi watakipakazia sifa mbaya...

Hata kama ni mwanamke mzuri, wakishindwa kumgharamia wataanza kumsema vibaya mara ni malaya, katoa mimba na mengineyo mengi
 
Unanishaurije kuhusu Nissan Murano je ni nzuri au nazo shida tu
 
Unanishaurije kuhusu Nissan Murano je nzuri au nazo ni shida tu
Umetumia maneno mabaya kwenye reply yako mimi nimeshamiliki Nissan zifuatazo

Nissan Serena engine zake zinaigiliana na Xtrail ugonjwa wake unafanana.

Nissan Bluebird sio mbaya....
 
mkuu tatizo la watanzania kama haeana uwezo wa kuki maintain kitu, basi watakipakazia sifa mbaya...

Hata kama ni mwanamke mzuri, wakishindwa kumgharamia wataanza kumsema vibaya mara ni malaya, katoa mimba na mengineyo mengi

Eeeeh bhana..! Brevis imesemwa sana hapa jukwaani utazanj ile gari kila siku inakutaka uende garage na sheli kujaz mafuta.
Ila cha kukuambia tu ni kwamba, Nina Brevis natumia kapo vizuri na hakanisumbui
 
Tunaomiliki xtrail huu mwaka wa saba tujuane[emoji3] waswahili tuna tabia ya “generalisation” utasikia ile gari ina sensor nyingi au ina umeme mwingi kumbe hata diagnostic machine hujui ina rangi gani!
 
Xtrail!

03 (1).jpg
 
Back
Top Bottom