Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa na xtrail anadai tubadilishane na Toyota Rush aniongeze na 2m.
Ha ha mkuu.dah hii gari kweli haitufai tunaotegemea mishahara.
Kama unayapenda unaweza kununua ila kwa ushauri tu yale magari hayana faida zaidi ya hasara maana ni kama mayai tuuAsante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.
Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)
Asante.
Kwa 7bu ya kitokua na pesa ila sio Toyota tu qwan hata chevrolet ni wazuri voxywagen jeep, n. KToyota ndo mpango mzima jembe
Magari mabovu tena....? Unajua mpaka gari inatoka ipelekwe kwenye soko inakua ishapitia sehemu kibao na wameiona inafaa na waipa star yake either ni star 1, 2, 3, 4 au 5.....sasa wewe unapokuja kusema ni mabovu sijui automobile skills kama unayoNaona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
Mafundi hapo ndo huwa wananichosha..huwa wanakisia tu mambo! Mi kuna fundi alinitia hasara sina hamu mpaka leo!!Juzi gari yangu Extrail Rider ilileta matata. Asubuhi inawaka vizuri ila nikiizima haiwaki tena. Nikaenda garage moja nikaambiwa oxygen sensor na airflow sensor zimekufa. Nikazama Ilala maduka ya spare nikazipata , moja kwa laki mbili na therathini. Jumla karibu laki tano pamoja na kuzifunga ikaenda.
Gari nimewasha na kuzima system ikafanya kazi poa. Nimerudi nyumbani. Kabla sijafika nikasimama sehemu, kuwasha gari haiwaki. Karibu nichanganyikiwe. Baada ya jaribu nyingi nyingi ikawaka. Nikaenda kuupaki nyumbani. Asubuhi , kuangalia oil, naona oil imechanganya maji vibaya.
Katika kuulizia nikapewa no ya Fundi mmoja yupo Biafra. Nikampigia na kumpa history nzima na jinsi nilivyokuta maji kwenye oil. Jamaa kanipa maelezo kwa nini hali hiyo imetokea, nikapekea gari, kumbe gasket imelika, na kuna kufaa kimepinda sababu ya joto.
Jamaa kaifix. Sasa hivi gari ipo poa kabisa.
Kuna fundi anaitwa Mikidadi yupo Ilala Machinga Complex ni mpuuzi kuliko mafundi wote niliowahi kukutana nao yaani ni yy ndo alifanya nichukie xtrail mazima gari ilizima ghafla barabarani kuja kucheki anadai sensor tukaenda kufix ile nimechukua gari sijafika hata karume imezima tena nampigia kaja anadai tubadilishe injini (kwa lugha rahisi tu).Mafundi hapo ndo huwa wananichosha..huwa wanakisia tu mambo! Mi kuna fundi alinitia hasara sina hamu mpaka leo!!
Wachina wanafyatua spea huo mkataba wako utauweka kwapani tu.Nissan cku zote spear zake huwa juu..ila ukifunga mkataba
si yanauzwa bei rahisi.Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
siku izi zinavunjika mkuuNissan ni ndoa ya kikristo
Bora ununue Rava4Asante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.
Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)
Asante.
Usinunue,Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
Juzi gari yangu Extrail Rider ilileta matata. Asubuhi inawaka vizuri ila nikiizima haiwaki tena. Nikaenda garage moja nikaambiwa oxygen sensor na airflow sensor zimekufa. Nikazama Ilala maduka ya spare nikazipata , moja kwa laki mbili na therathini. Jumla karibu laki tano pamoja na kuzifunga ikaenda.