ambae spoket zinamsumbua kila sku ni bodaboda huyo boxer nnayo tangu 2015 kwa matumizi binafsi tu cjui mambo ya spoket wala suspension ni kubadili oil na tairi. yan kama ningekua na service history laki 4 haifiki miaka yote 5.. na inatembea kilometa almost 40 dailyTvs.. Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?
Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu.. Mie simpotezi mtoa Mada.. Ila nampa ushauri mzuri sana.. Sio lazima anunue bike ya mil 18,au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod...
Honda XL ni matoleo ya zamani, jaribu kuangalia Honda CRF 125/ 150.Kuna chombo moja HONDA XR 125/150 hii naitamani Sana. Sema mkwanja wake mrefu Sana nafikili Sio chini ya US $2600.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe unaetaka kununua haojue kama ni ya biashara achanana ile wanaiita haojue mayai kama ya binafsi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm nahitaji ya misele na nikiwa off napiga bodaboda na vimizigo vidogo vidogo. Naomba ushauri, ipi inanifaa? Pesa 2.5M
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.
Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.
Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
Nipo tu town Moro, barabara ziko safi tu labda kidogo za mtaa kiasi ndo haziko vzr kivile.
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.
Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.
Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
Sawa mkuu, nimekuelewa. Nashkuru kwa ushauri wako. Ntaufanyia kazi. Ntakuja na feedback mambo yakienda vema mkuu.Kama upo town na umesema utakuwa unapiga na boda boda sometime, chukua boxer bm 150, hizi za MO Gia tano Zina bei Sana unaweza chukua toleo la nyuma kama Ile bm 150 "mdomo wa mamba" kasoro yake ni spare zake ni ghali kidogo tofauti na mchina ila ukiitunza vizuri ni pikipiki nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo la boxer ni luxury lkn hutakiwa kukaa nayo muda mrefu itazingua ikianza kuwajua mafundi tofauti na mchinaSawa mkuu, nimekuelewa. Nashkuru kwa ushauri wako. Ntaufanyia kazi. Ntakuja na feedback mambo yakienda vema mkuu.
Inatakiwa ukae nayo muda gani? Alafu ubaya wa boda boda ukiwauliza ni kwamva kila mmoja anasifia yake..wa TVS ataisifia yake hivo hivo wa Boxer, sanlg, honda n.ktatizo la boxer ni luxury lkn hutakiwa kukaa nayo muda mrefu itazingua ikianza kuwajua mafundi tofauti na mchina
boxer za mwanzo zilikuwa kiboko sio za saiv
mkuu me nakushar ulizia mabodaboda watakwambia pikipiki mzuri ni haojue 125-8 old model na sio mayai
chukua unayoipenda wewe mkuuInatakiwa ukae nayo muda gani? Alafu ubaya wa boda boda ukiwauliza ni kwamva kila mmoja anasifia yake..wa TVS ataisifia yake hivo hivo wa Boxer, sanlg, honda n.k
Mkuu feedback plz. Ulinunua pikpik gan?SHUKRANI MKUU, ITABIDI NIINGIE DARASANI KWA AJILI YA PIKIPIKI
Mkuu Umetaja Piki piki Nyingi tuu kama Boxer,Fekon,Sanlg,TVS,nk
Ila Mwisho wa yote Kuna Pikipiki moja inaitwa HOAUJUE...au Kiswahili wanasena "Haujue"....hi Pikipiki ni Nomaaa Asikwambie Mtuu,Uliza waendesha Pikipiki watakuambia...
Ni Imara,inapiga Mzigo na Nzito.
Ikitulia Barabarani Hakuna na Boxer, TVS,au wala sijui nini atafuata hii,
Niliwahi Siku moja Kupakia Mzigo wangu,gunia 2 za Nazi kwenye "Hoaujue" nami nikapanda Boxer,Tumeanza tuu Boxer akatupita akaenda mbali,baada ya kama Dk 7 hivi,lilitupita kama tunesimama,Nikamwambia Dereva wa Boxer Aisee vipi ongeza mwendo Mkuu,akaniambia hiyo ni "Hoaujoue" taamka "Haujue" ni balaa siwezi fuata pale linapokuwa limechanganya!
Na ni BORA usipime! Yaani Imara!
Inavumilia kila hali!